Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Simba kama ni dume jitahidi kumnyemelea Kisha mpige dole la kati kwenye sungilo/puru lazima atoke mbio mambo ya LGBQ hapendi, Kwa upande wa mamba jitahidi upapase jicho lake lazima akuache
wewe jamaa hivi mamba ushawahi kukutana nae uso kwa uso?

Mamba mkubwa ana uzito wa kilogram 800 hadi 1000

Huku kwetu mwaka jana alimuua jamaa yetu wakaitwa wazee kutoka Ukerewe wakamuwekea mtego(kuna ndoano mahususi kwa ajili ya mamba) akanasa, aliliwa kata nzima

Ule mdude una nguvu mno
 
Nimetoka visiwani majuzi nimeacha misiba miwili mmoja wa mvuvi mwingine wa m'mama wote walikua wanaoga pembezoni mwa ziwa ila wameliwa kwa nyakati tofauti. Kama mnavyojua visiwani watu wanatamaduni za kwenda kuoga pembezoni mwa ziwa, mamba hua anakupiga bite moja then anakurusha kwa nyuma kwenye maji ndio anakufata anaanza kujiroll kwenye maji mpaka unagawanyinga hicho ni kitendo cha dakika umeisha, yule mama tulimtafuta kesho yake tukamkuta kwenye mwamba amefichwa ila tulikuta kicha na mguu pamoja na mikono ila tako lote na papuchi mr mamba alikula vyote plus matiti. Wakuu hao wanyama wote ni hatari ila bwana mamba ukimkuta majini aseee kutoka ni ngumu sana mkubali au mkatae.
wewe ulichoandika ni ukweli 1000% mimi mpaka wa leo nipo kisiwani

Mwaka jana wameua watu wengi sana mixer mbwa na ng'ombe

Wameacha majeruhi wengi sana

Hao viumbe ni hatari

Wao hawali sehemu ngumu wanakula kuanzia tumboni mpaka kwenye sehemu za siri na matako, kichwa na miguu wanatunza

Na mamba hali peke yake lazima akupeleke kwenye familia yake ili wasaidiane kukata nyama

Mungu fundi
 
Ziwa victoria la miaka ya hivi karibuni siyo lile la miaka ya 60 hadi 70 ambapo vijana walikuwa wanaweza kuogelea karibu siku yote. Miaka ya themanini ziwa lilianza kuharibika kwa uoto fulani likawa halifai kwa kuogelea tena na maji yake yakawa machafu kwa matumizi ya binadamu. Kuanzia miaka ya tisini mamba wakazagaa sana ziwani kutokana na serikali ya Uganda kuharibu makazi yao huko mto Nile wakahamia ziwani na kusambaa Afrika ya Mashariki yote. Kuna haja ya kuwadhibiti wasiendelee kuzaliana. Makazi ya asili ya Mamba huwa ni mitoni siyo ziwani.
sasa hivi wamezagaa ziwa Victoria wengi mno, halafu ni madude balaa sio tudogo
 
Eiyai
FB_IMG_1709970811805.jpg
 
Ukikutana na simba na hilo panga lako uanze kujikata mwenye vipande vidogo vya nyama uwe unamrumshia mpaka pale mwenyewe atakapoamua aanze kukutafuna mwenyewe
 
Tiger hana ukaribu na Chui ana ukaribu na Simba hata kimwil wanauzito unaokaribiana Chui ni mdogo.

Simba anaweza hata kumpanda Tiger na kuzaa Mtoto aitwae Liger👇

View attachment 2929283
Jifunze kusoma kwa ufahamu. Jifunze lugha yako ya kiswahili. TIGER kwa Kiswahili anaitwa Chui Milia na sio hilo jina lako, Umeelewa?.
 
Huo ni ukweli, hii inamaanisha endapo utakuwa kwenye situation ya uso kwa uso na Simba au Predator yeyote better kumkazia macho na kutokugeuka nyuma confidence yake kukushambulia itapungua kuliko ukimbie hapo utakuwa kama Swala tu unajua nini kinamtokea swala
Hivi umkazie Simba macho wakati hujawahi kuexperience kuwa nae karibu unadhani ni rahisi ??

Wakati huo unamkazia macho anaunguruma muungurumo mkali kama piki piki za BMW utabaki salama kaka ?

Lazima ujikojolee ama kupoo kabisa na machozi yatakutoka bila kutarajia
 
Jifunze kusoma kwa ufahamu. Jifunze lugha yako ya kiswahili. TIGER kwa Kiswahili anaitwa Chui Milia na sio hilo jina lako, Umeelewa?.
JF Hili ni Jukwaa la kuongezeana maarifa na sio kulazimishana watu waliotunga hilo jina walikuwa na uelewa mdogo.
 
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Kuna mtu aliwahi pigwa "kofi" na simba kuanzia kwenye kwapa hadi matakoni ikabakia mifupa tu
 
Nasikia kanyegere kavulana kana wivu kiasi kwamba kakimwona binadamu yupo nyuma ya nyegere jike kanahisi labda binadamu anataka penzi kwa demu wake, katakufukuza kweli.
Sijui ni kweli au stori!
Hiyo ni kama pie27
 
Back
Top Bottom