Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Huyo ni alligator mkuu ni jamii ya mamba lakini ni wadogo, acha masihara na mjomba mamba mkuu chatu hawezi kumla.
Alligator pia huwa ni wakubwa.

One of the most striking differences between the American alligator and Nile crocodile is size. Florida's state alligator can weight from 450 to 600 pounds and averages 13 feet long, while the Nile crocodile weighs 150 to 220 pounds and averages about 8 feet long. Snout size is also different in these two reptiles.
1709929575974.png

Pets on Mom.com › whats-di...
 
View attachment 2928788
Pets on Mom.com › whats-di...
Wapo ila hawafikii urefu na uzito kama wa mjomba mamba, hivyo vialligator vinaliwa na chui kila siku tunaona.
 
Chatu utamuweza. Hana mbio ya kukushambulia, kukupata ni mpaka akuvizie

Unamkata hapo kichwani

Simba ndo atakumaliza kirahisi, ana nguvu, mbio kuliko wewe,

Kucha 1.5 in kama nyembe, akikurukia na kilo zake 200+ utadondoka tu

Na pia unakuwa umejengewa 'fear trigger' ya kumuogopa simba, anavyosimuliwa, ukimuona kwenye video,

kwahiyo mkikutana macho kwa macho utakuwa na hofu kubwa, hutoweza kufikiri haraka haraka
Huu Ndo.ukweli 100%..
Wanyama wengi Kinachotuua ni Hofu tuliyojengewa na kujijengea kuwahusu..
Na hiyo ndo utuumiza
 
Nimetoka visiwani majuzi nimeacha misiba miwili mmoja wa mvuvi mwingine wa m'mama wote walikua wanaoga pembezoni mwa ziwa ila wameliwa kwa nyakati tofauti. Kama mnavyojua visiwani watu wanatamaduni za kwenda kuoga pembezoni mwa ziwa, mamba hua anakupiga bite moja then anakurusha kwa nyuma kwenye maji ndio anakufata anaanza kujiroll kwenye maji mpaka unagawanyinga hicho ni kitendo cha dakika umeisha, yule mama tulimtafuta kesho yake tukamkuta kwenye mwamba amefichwa ila tulikuta kicha na mguu pamoja na mikono ila tako lote na papuchi mr mamba alikula vyote plus matiti. Wakuu hao wanyama wote ni hatari ila bwana mamba ukimkuta majini aseee kutoka ni ngumu sana mkubali au mkatae.
 
Naombeni mniambie mimi sijawahi kukutana na mamba wala chatu ila nahitaji kujua je ukikutana na Hao Wanyama.

Assume una upanga mkali yupi ukipambana naye Shambani huko ng'anya yake sio ndogo.

Yaani yupi ukijiingiza kwenye mfumo wake wa mtego pambano lake atakuzidi kirahisi na yupi mwepesi kumshinda.
Usiingine kwenye mifumo yao wote; ukishaingia kwenye mfumo wa yeyote kati yao basi huo ndiyo unakuwa mwisho wako
 
Nimetoka visiwani majuzi nimeacha misiba miwili mmoja wa mvuvi mwingine wa m'mama wote walikua wanaoga pembezoni mwa ziwa ila wameliwa kwa nyakati tofauti. Kama mnavyojua visiwani watu wanatamaduni za kwenda kuoga pembezoni mwa ziwa, mamba hua anakupiga bite moja then anakurusha kwa nyuma kwenye maji ndio anakufata anaanza kujiroll kwenye maji mpaka unagawanyinga hicho ni kitendo cha dakika umeisha, yule mama tulimtafuta kesho yake tukamkuta kwenye mwamba amefichwa ila tulikuta kicha na mguu pamoja na mikono ila tako lote na papuchi mr mamba alikula vyote plus matiti. Wakuu hao wanyama wote ni hatari ila bwana mamba ukimkuta majini aseee kutoka ni ngumu sana mkubali au mkatae.

Ziwa victoria la miaka ya hivi karibuni siyo lile la miaka ya 60 hadi 70 ambapo vijana walikuwa wanaweza kuogelea karibu siku yote. Miaka ya themanini ziwa lilianza kuharibika kwa uoto fulani likawa halifai kwa kuogelea tena na maji yake yakawa machafu kwa matumizi ya binadamu. Kuanzia miaka ya tisini mamba wakazagaa sana ziwani kutokana na serikali ya Uganda kuharibu makazi yao huko mto Nile wakahamia ziwani na kusambaa Afrika ya Mashariki yote. Kuna haja ya kuwadhibiti wasiendelee kuzaliana. Makazi ya asili ya Mamba huwa ni mitoni siyo ziwani.
 
Wanyama wote wanamuogopa binadamu.
Chatu ikiwa anakuvizia akijua umemuona anakimbia.
Simba ni mara chache kushambulia binadamu, ana aibu na hapendi kutishana na binadamu.

Ukikutana naye anajificha kichakani.
Tatizo itakuwa uoga wako maana Simba ana dharau, akikuachia njia anatembea taratibu.
Lakini Simba jike mwenye watoto au dume la Simba mzee aliyetengwa na kundi lake ukipata bahati mbaya kukutana nao umeliwa.

Mamba ni hatari sana ukikutana naye kwenye maji kuanzia kiunoni.
Kama upo peke yako eneo hilo umepotea.
Mara chache sana kujinasua kwenye mdomo wa mamba.
Wanyama wote hao wakikuvamia panga lako utalitupa mwenyewe kwa kihoro.
 
Usiingine kwenye mifumo yao wote; ukishaingia kwenye mfumo wa yeyote kati yao basi huo ndiyo unakuwa mwisho wako
umeongea la maana sana, kwamba UKIINGIA KWENYE MFUMO WAKE, na shetani naye hivyohivyo, watu wengi hawajui, shetani hana nguvu kwako kama haumampa nafasi. kwa kawaida ukiwa ndani ya Yesu Kristo shetani hata afanyaje hana haki wala nguvu ya kukudhuru, anachofanya huwa anakuletea majaribu na matamanio ili ufanye dhambi, ukifanya tu dhambi umefungua mlango, ndio anaingia na kuleta uharibifu mkubwa. bila hivyo, shetani hana lolote kwetu.

WAEFESO 4:27 INASEMA, wala msimpe ibilisi nafasi.

2 Wakorintho 2:11 "Shetani asije akapata kutushinda; kwa maana hatukosi kuzijua fikira zake"
 
In addition kwa nilichokiongelea awali, hivi nyinyi mnaujua ukubwa wa simba nyinyi.
Male lions are much larger than females. The length of a female is typically between 4.6 and 5.7 feet, while the length of a male is between 5.6 and 8.3 feet(1.7-2.5 metres.) Their tail length is 27 to 41 inches. Female lions weigh 270 to 400 pounds, while males weigh 330 to 570 pounds(149-258kg)
Hivi mnajua urefu wa Christian Ronaldo ni :Considering Ronaldo's height is 6'2” or 1.87m, his vertical leap during the goal can be measured at approximately 1.06m or 41.7 inches. Yani simba mkubwa amempita cr7 urefu kwa 0.6metres, yani cm60 sawa sawa n rula 3😂😂😂. Mmewai kuuskia mngurumo wa simba nyinyi?? Kumbukeni ukubwa wa simba mkubwa amemzidi ngombe kwa urefu n upana. Acheni mchezo kabisaaa. Binadamu hata 5 kwa mapanga hamtoboi.
Simba ajamzidi ng'ombe kwa urefu na upana
 
Wapo ila hawafikii urefu na uzito kama wa mjomba mamba, hivyo vialligator vinaliwa na chui kila siku tunaona.
Hata hao crocodile wangekuwa wanaishi habitat moja na Jaguar wangeliwa sana tu unless awe mkubwa kabisa, so croco wanajizolea ujiko kwasababu wana bahati hio.
 
Mnyama flani hivi mdogo mdogo ila mtata sana hasa wakiwa kwenye tendo la ndoa ukawafumania na akajua umewaona hata ukimbie wapi atakufata tu to cut it shot kawivu wa hovyo
Nasikia kanyegere kavulana kana wivu kiasi kwamba kakimwona binadamu yupo nyuma ya nyegere jike kanahisi labda binadamu anataka penzi kwa demu wake, katakufukuza kweli.
Sijui ni kweli au stori!
 
Back
Top Bottom