Kati mamba, simba na chatu yupi mrahisi kuokoka tukikutana naye?

Mbona unene umeandika wewe, kiujumla tu Simba ajamzidi kitu chochote Ng'ombe kinachogusa Body Size iwe urefu, upana, unene, ujazo, uzito nk
Kwa fikra zako hujakosea, ila tukirudi kwenye uhalisia, you should be ashamed of yourself for being rigid minded. Next time, research first. Which is taller, a Cow or a Lion? [Answered]
sa=t&source=web&rct=j&opi=89978449&url=https://en.m.wikipedia.org/wiki/Pan...8QFnoECBIQAQ&usg=AOvVaw36UZJamPvrLQa9LtzHKZgk
for_fig1_340283152&ved=2ahUKEwjhspvghO2EAxVjh_0HHZrzCMcQFnoECDQQAQ&usg=AOvVaw13uRuvUO7qyZWtVIzPmcgD
Tatizo watu wengi hamjawai kumuona simba live bila chenga ila mmezoea kuwaona Ng'ombe kutokana n lifestyle yetu ya mjini. Ila ananeni na yule kiumbe. Simba hakupewa jina la mfalme wa mbuka kwa bahati mbaya.
Ni narudia tena, kitu cha pekee Ng'ombe alichomuacha simba ni unene, kuwa n pembe na uzito tuuu. Ila kiurefu kutoka ardhini hadi mabega(height) na urefu wa kutoka mkiani hadi kwenye pua(length), simba kamuacha chombe mbali tena, simba ni giant. Simba mkubwa amefika hadi mita 2.8, yani ni mrefu kuliko mrisho ngasa au Messi. Sio poa mjue. Binadamu hana chance yetote ya kupona kwa panga hata mkiwa3. Sio poa mjue. Ni hatariΒ³.
Ushahidi nimeweka links hapo juu. Wakati huu ukibisha bisha kwa Ushahidi, Google tu n uhalisia utauona.
Nje ya hivyo porojo kawapigie watoto wa vidudu n chekechea.
 
Hiyo Picha huyo Chatu kammeza Mlinzi wa WFP mwenye AK47 wakati anavuka Fensi ndio akapigwa Zap akaing'ata Fence ndio kufia hapo hapo na asubuhi akakutwa hivyo hivyo.

Sudan Kusini.
Huyo mlinzi yupo wapi? Picha hiyo hiyo wengine wanasema kaimeza pikipiki... Huo ni uongo.
 
Jaguar anawashambulia camens sio mamba wala alligators..
Camens ni wadogo sana kuliko hata jaguars.
Mamba na alligators ni wakubwa sana jaguar asingeweza huo mziki. Ila hawawezi kukutana maana kijiographia hawaingiliani.
 
Mamba kwenye maji mdundiko wake si wa kitoto.
Ukimleta Nchi Kavu unaweza kumvalisha hata Nepi akakubali tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mamba kwenye maji hutamuweza Kwa sababu lile ni eneo lake la kujidai halaf wewe hujazoea pia na nguvu syo Haba Yale meno yake hapo mnyonge ni chatu ambae Hadi akuvizie
 
Chatu anazungusha Ile coil kwenye windo lake sio Kwa ajili ya kuvunja vunja mifupa ila kuzuia damu isitembee mwilini so atabana mpaka atapo sense moyo haudundi Tena. Na pia anabana Ili kushape anachotaka kukimeza kama vile sisi tunavotengeneza tonge la ugali mkononi.
Meno yake yametazamia ndan ikimaanisha akianza kumeza ktu hakuna namna hiko kinaweza kurudi nje Tena iwe Kwa kuvutwa ama vyovyote
 
Mamba kwenye maji mdundiko wake si wa kitoto.
Ukimleta Nchi Kavu unaweza kumvalisha hata Nepi akakubali tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahaha akikuuta jike je
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…