Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

Kati ya 100 kilos ya Ferre Gola VS Associe ya Fally Ipupa ipi ilikuwa na bado ni ngoma kali

Associe ya Fally naielewa zaidi


Lakini huko Congo mara nyingi wanashindanisha Associe vs Vita Imana

Vita imana ni kama wimbo wa taifa kwa kizazi cha pili cha rumba la congo

Vita Imana ni wimbo mkubwa sana kwa Associe. Ile ngoma ni habari nyingine.

Ferre gola le Padre.
 
Sijui kwa nini Zazzou ya Ferre Gola ndiyo huwa naiona nzuri kushinda 100Kilos na Vita Imana.

 
Associe inapaswa kushindanishwa na Zazou...

Hebu zisikilize ndo utaelewa nachosema...


 
Back
Top Bottom