Kati ya Analyse na Umughaka yupi mkali katika simulizi?

Naomba link ya story zake kali..

Kwavile hii bado inaendelea, ngoja aanze nayo Lovelovie
 
Hapo mumeo ni yupi kati ya hao wawili?
 
Mimi wote sijawahi kuwasoma hata mmoja naona tu stori zao zinatrend ,siku nitatulia nianze kuzifuatilia kwa umakini.
Anza na analyse,

Kuna Ile scene Ile ya shule boarding kupigwa SP Kuna sehemu Na mm nta add knowledge niisimulie kisa Cha dogo Fred na mzee wake Huwa natamani niisimulie.....

All in all Kuna ma father wapogo kama mzee wake na Analyse....
 
Kwangu mimi
1. DeepPond
2. Analyse
3. SteveMollel
4. UMUGHAKA

Haya ni maoni yangu tu sitaki shobo.
Mimi najiona nipo kama yule KIPOFU, ambaye alibahatika kuona ukubwani, tena kwa muda mfupi, na kukutana na PUNDA, kisha macho yake yakafumba tena. Basi yeye, kila kitu akiambiwa, anauliza kinafanana na PUNDA?
Mimi hapa JF nimesoma story za UMUGHAKA pekee! Sasa, kama wapo wadau wengine wakali mpaka kupambanishwa na huyu MWAMBA wangu, basi nao sina shaka ni wasimuliaji wazuri! Inanilazimu nami nizifukue hadithi zao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…