Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria.
Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na Paskal (Mwanasheria) hapa bado sijamuelewa Paskal uungaji wake mkono, is it a matter of masters are always right!