Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Kama Dau litapanda!😀Huku tukisubiria teuzi,kho kho kho!
Subutu!Huku tukisubiria teuzi,kho kho kho!
Jahazi.Paskali ni mwanasheria msomi,ila anaagalia na upepo unapoelekea pia.
SawaDuh
Kulielewa Swala la Bandari hakuhitaji degree ya Sheria
Business Law tu ya Wasomi wa degree za Biashara inatosha kabisa 😀
Huyu Assad najua misimamo yake, tayari kalegezwa MAGOTI....Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria...
Wateule wote wa rais ni lazima wautetee mkataba hata kama hawaujui mradi tu wamung'unye.Huyu Assad najua misimamo yake, tayari kalegezwa MAGOTI....
Sasa hakuna ubishi kwamba wakili Pascal Mayalla Ni tapeli na kajanja. I'm sorry to say so, lakini hii iko wazi kitambo tu. JPM alilijua hili na akamkataa mapema sana.Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria..
Wote wazitoKUNA HUTOFAUTI GANI KATI YA PASCAL NA ZITTO KABWE??
Hapana, kwa hili unamuonea.Sasa hakuna ubishi kwamba wakili Pascal Mayalla Ni tapeli na kajanja. I'm sorry to say so, lakini hii iko wazi kitambo tu. JPM alilijua hili na akamkataa mapema sana.
Prof Assad ni Muhasibu, Pascal mwanasheria, mbona jibu rahisi?!Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria.
Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na Paskal (Mwanasheria) hapa bado sijamuelewa Paskal uungaji wake mkono, is it a matter of masters are always right!
Pascal huwa nahis huwa hana msimamo wa kusimamia anachokijuwa., bali hufuata upepo wa wenye Nchi., vijana wengi siku hizi TEUZI wanazichungulia kwa karibu full kujipendekeza.Kati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria.
Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na Paskal (Mwanasheria) hapa bado sijamuelewa Paskal uungaji wake mkono, is it a matter of masters are always right!
Sisi wengine huyo paskali tulishampuuza maana kipindi cha wale covid 19 walipofukuzwa alijitokeza na kutuletea notes za administrative law humu jf akijifanya kueleza kuwa walifukuzwa bila kufata taratibu za misingi ya haki huku akitumia maneno ya KILATIN kama NEMO JUDEX IN CAUSA SUA NA AUDI ALTERAM PARTEM, mim nilimuuliza maswali yafuatayo,Paskali ni mwanasheria msomi,ila anaagalia na upepo unapoelekea pia.
Paschal yupo na Channel 10 Mbeya, Channel 10 ni mali ya CCM. Tuishi humu kwanzaKati ya Post zilizomo humu leo nimemuona Paskal akimuunga mkono Assad, Paskal ni mwanasheria mzuri Assad tunamfahamu kwa umahili wake kwenye mahesabu ya ndululu sijui kama naye ni mwanasheria.
Leo Assad amejitokeza na kuelezea mambo ya kisheria kuhusu uwekezaji wa bandari na kuungwa mkono na Paskal (Mwanasheria) hapa bado sijamuelewa Paskal uungaji wake mkono, is it a matter of masters are always right!
Ni mdini sn kama Zitto KabweHuyu Assad najua misimamo yake, tayari kalegezwa MAGOTI....