Kati ya Assad na Paskal nani anatakiwa amuunge mkono mwenzake kwenye jambo la kisheria?

Paschal ameajiriwa na channel 10 yupo Mbeya
 
Iko hivi,
1. Wote ni ccm
2. Assad na uislam ni sawa na Pascal na ccm
3. Pascal ukisoma kwa umakini post zake kuhusu Bandari kwa ndani ya moyo wake na akili yake anaukosoa ule mkataba tatizo alisha guswa na mkono mrefu wa serikali, na hataki tena umguse.
4. Asad ukimsikiliza vizuri kabisa si kwamba kaukubali mazima ule mkataba tatizo anaangalia dhwabu za dini yake.
 
Kwa hiyo wote biyee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…