Kati ya Assad na Paskal nani anatakiwa amuunge mkono mwenzake kwenye jambo la kisheria?

Profesa Assad bwana, any way aendelee kutoa miadhara pale MUM
 
Profesa Assad bwana, any way aendelee kutoa miadhara pale MUM
Prof. Assad! Huyu fani yake ni ya ndululu na matumizi yake, Paskali fani yake ni ya sheria imetekekezwa kiusahihi au imekosewa kutekelezwa, hebu fafanua pendekezo lako.
 
Assad hajachambua kifungu chochote cha sheria so kimsingi anaonesha tu uzuri wa kuwekeza na kwamba sisi Aftika siku zote hatutaweza! Waandishi wetu nao ni sifuri, wangemuuliza kuh vifungu yeye anaonaje
 
Hauwezi kumuuliza mtu asiye mwanasheria kuhusu vifungu vya sheria, yeye amelenga kwenye mapato tu kama yatakuwepo akisahau kuwa aliyekuingiza mkenge na kuutambua udhaifu wako ndivyo atautumia kukupiga kisawasawa kwenye mgao wa ndululu huku akikuletea zawadi za tende na haruwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…