Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

Kati ya awamu ya tano na hii ya sita. Ni ipi imeongoza kwa raia kutekwa na kupotezwa? Kumbukeni mpaka sasa Azory Gwanda hajaonekana

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?
1000030420.jpg
 
Ya sita imeongoza, sahivi ukisema suu umeenda
Wakati ule ni mpaka umkere sana jiwe yani umu criticize yeye kama yeye, wakati wa Jiwe watu wa chini hawakutekwa. Mtu kama yule dogo aliyechoma picha au Sativa wasingetekwa wakati wa jiwe, "bibi" anaona mnamdharau she is trying to assert dominance
 
Hii ilikuwa mwaka 2019. Mpaka leo hatujui alipo. Au ndio aliliwa na wanyama huko Katavi?View attachment 3065280
Ya sita imeongoza, sahivi ukisema suu umeenda
Wakati ule ni mpaka umkere sana jiwe yani umu criticize yeye kama yeye, wakati wa Jiwe watu wa chini hawakutekwa. Mtu kama yule dogo aliyechoma picha au Sativa wasingetekwa wakati wa jiwe, "bibi" anaona mnamdharau she is trying to assert dominance
Chaula ni mdogo sana yani ingekuwa wakati wa jiwe asingemshughulikia na kama hata ingetokea akamind basi angechappwa viboko tu. Mtu kama Sativa hakuwa wa kupiga risasi hakuwa na impact yoyote kwa mamlaka mpaka kufanyiwa vile
Ukosoaji kamwe hauwezi kudhibitiwa kwa kuua Watu, kuteka Watu au kwa kuwafanyia watu uovu wa aina yoyote ile.
Wakosoaji walikuwepo, wapo na Wataendelea kuwepo milele, KAMWE hawataisha hata kidogo.

Hata Yesu, Mtume Muhamad SAW na Mungu nao pia hukosolewa, sembuse hizi Tawala zilizopo hapa duniani!!!!!???
 
Awamu ya sita imeshaipiku ile ya awamu ya tano ya yule mwovu ukiwa umebakia mwaka mmoja, hakika awamu hii imetia fora
 
Awamu hii hakuna utekaji, Kuna drama tu.

Jiwe kateka na kuuwa watu wengi sana. Ndiyo maana akafa mapema.
 
Back
Top Bottom