rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,905
- 9,740
Kula kitu weweeee, ila hivyo vipombe vya kopo vinanyweka sana huku Moshi. Wajinga wanapima toti kuanzia jero
Wewe nimekupata, ila bado natafuta comment ya rafiki siioniKila kitu kwa kiasi
Picha ya kisungura 😎
Visungura sivipendi kabisa. Bangi huongeza maarifa na Mimi huitumia kila siku iendayo kwa mungu.
I miss u my brother eli -DEFIANT- cohen unaitwa huku ukiwashe!🤣Ni picha ya Kaka yako embu mtag kwanza panoge humu 😂 😆
Hivi unajua kuna watu waheshima wanavuta bangi alafu unaweza husiaminiKisungura kinaharibu mwili, bangi inaharibu akili
smoke some weed drink some winne Jay z forever youngBangi inaharibu akili ipi?
Bangi inakwambia usifanye kazi?
Bangi inaiba?
Bangi inabaka?
Niwewe na akili zako ulipanga kumbaka rebeka kwaiyo ulivovuta bangi ikakupa ujasr wa kumbaka rebeka...
Bangi zenyewe za sikuhiz mbegu za kisasa kibao kila chimbo zimejaa cannabino halaf useme zinaharibu akili...
Na uzuri wa bangi kama imekushinda itakuonesha na utaacha huwez kuwa kama hawa madogo vishandu wenye virasta wanaokuja na akili zao mbovu kwenye bangi
Seran acha ugomvi na uchonganishi, Mimi sijamtaja mtu humu wala sijui kama huyo ni Kaka yako 😂 😆I miss u my brother eli -DEFIANT- cohen unaitwa huku ukiwashe!🤣
Kumbe! Sio kwamba unamuogopa? Mimi huyu ndio kaka yangu kipenzi eti🤭Seran acha ugomvi na uchonganishi, Mimi sijamtaja mtu humu wala sijui kama huyo ni Kaka yako 😂 😆
Visungura sivipendi kabisa. Bangi huongeza maarifa na Mimi huitumia kila siku iendayo kwa mungu.
Mimi naogopa Visungura hata wewe ukipiga Visungura nitakuogopa tu .Kumbe! Sio kwamba unamuogopa? Mimi huyu ndio kaka yangu kipenzi eti🤭
mimi hiyo hapana! 🤣Mimi naogopa Visungura hata wewe ukipiga Visungura nitakuogopa tu .
Ni nani huyo?Kuna rafiki yako Jf ni Mnywa Visungura mbona haumshauri kuacha ?
Rafiki ganiWewe nimekupata, ila bado natafuta comment ya rafiki siioni
Ok 👍Alipatikana namba 64
vp mbona unaniweka hapo mkuu? naomba ufute!Alipatikana namba 64