Kati ya Belta, Premio, Allex na Raum, zote 1.5l, nichukue ipi?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
1,595
Reaction score
3,416
Wakuu, kati ya Premio, Belta, Allex ,Runx na Raum zote 1.5l nichukue ipi? Kipato changu cha kawaida, vigezo

1. Ulaji mdogo mafuta
2. Spare bei nafuu
3. Body imara
4. Kuhimili safari ndefu kila siku, km 150 kwa siku.

Ni hayo tu wazoefu wa magari, nipeni msaada.
 
Premio.
Tena chukua Premio New model ile ina rangi ya Maroon, tamu ile wewe. Ni balaa.

Sema nyingi naona zina 1.8L.
Tofauti ya 1.5L na 1.8L sio kubwa kiviiiile.

Cheki inavong'aa... Cheki.


Mimi sina hiyo gari, namiliki Passo kali vioo tinted. Siku uchumi wangu ukiwa vizuri lazima nivute Premio New Model Maroon color
 
Usichukue Belta.
Kwanini? Shape yake mbaya. Ni kama walichukua VITZ wakaongeza matako ya VEROSSA kwa nyuma.


Usichukue Raum.
Kwanini? Ule mlango wake wa kuburuza ukianza kuzingua unazinguaga ule wewee...


Usichukue Allex.
Kwanini? Hivi vigari vilivokatwa matako sijui huwa navionaje.
 
Usichukue Raum mkuu utakuja kuji_LAUM
 
hivi mkuu kuna passo''kali"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…