Kati ya Bunge na Mahakama nani anaweza kuvumiliwa akivunja sheria?

Kati ya Bunge na Mahakama nani anaweza kuvumiliwa akivunja sheria?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,639
Kazi ya bunge ni kutunga sheria japokuwa kiukweli sheria zinatungwa na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.

Kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria.

Je, kuna tunayeweza kumvumilia hapa akivunja sheria?

Kazi Iendelee!
 
Mtu moja tu anasigina Katiba kati ya milioni sitini aiseeh ULE Ugonjwa bado UPO....bwasheeh
 
Back
Top Bottom