J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,639 May 3, 2021 #1 Kazi ya bunge ni kutunga sheria japokuwa kiukweli sheria zinatungwa na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria. Je, kuna tunayeweza kumvumilia hapa akivunja sheria? Kazi Iendelee!
Kazi ya bunge ni kutunga sheria japokuwa kiukweli sheria zinatungwa na Ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Kazi ya mahakama ni kutafsiri sheria. Je, kuna tunayeweza kumvumilia hapa akivunja sheria? Kazi Iendelee!
E Earthmover JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 26,000 Reaction score 25,342 May 3, 2021 #2 Mtu moja tu anasigina Katiba kati ya milioni sitini aiseeh ULE Ugonjwa bado UPO....bwasheeh
Halaiser JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 4,741 Reaction score 7,679 May 3, 2021 #3 Wewe Bwashee tutajie.
Dickson Edwin Mgaya JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 526 Reaction score 1,432 May 4, 2021 #4 Labda Wagonjwa wa Milembe hospital, kwakuwa ni special group