Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Mfano sudan waarabu weusi ambao technical sio warabu eti walikuwa wanabagua waafrika ndo chanzo cha mgogoro sudani na ikapelekea mpaka nchi ikajitenga
Tena chini ya yule gaidi Omar Albashir ambaye ndio aliyetengeneza hilo kundi la magaidi wa Janjaweed waliofanya genocide pale Darful , The heague walitoa hati ya kukamatwa kwake ili ajibu mashtaka ya mauaji ya kimbali dhidi ya wasudan weusi hapo Darful
 
Huyo hemet kiongoz wa janjaweed hatakiwi kabisa kwa sababu kitu walichokua wanawafanyia waafrika kule darfur ulikua ni ukatili mkubwa sana
Na yeye ndo chanzo cha Mgogoro wa sasa, anataka kuwa Kiongozi wa hicho Kikosi kisicho rasmi kwa maisha.

Ana roho mbaya na Ubinafsi, ukiacha ya Darfur, wakati wa mwanzo wa Maandamano ya kumuondoa Bashir, alitoa Amri kuwapiga Risasi wastani wa Waandamaji 100.....

Utofauti kati yake na Mkuu wa Majeshi ya sasa ulionekana kwenye Maandamano.

Hata Raia wengi wa Sudan hawampendi.
 
Hizi hasira za kutukana watu dalili ya ufukara wa hoja ndugu. Staarabika sio Kila kitu mpaka utukane ndo ueleweke.
ana waambien ukwel kuna muda mnaropoka na hiz akili za kulopoka ndo chanzo cha migogoro Afrika , hatuish kwenye uhaisia bali tunais chini ya mwamvul wa mihemko tu , hapo Sudan upo mpk ushaidi kuwa China anawapiganisha na hajaanza leo tangu 2011 mpk silaha za China zilikamtwa huko uwanja wa vita Darfur ( kipind hicho ) , hata huu mgogoro huyo huyo China na wenzie ndo wauzaj wa silaha kwa waasi na magaidi wengi Afrika
 
Kusema ukweli ndo atukane. Kutoa matusi mara nyingi ni dalili ya kutojiamini.
 
Habari nyingi zilizohusu Sudan kabla kupinduliwa kwa Omar Albashir zilikuwa na lengo la upotoshaji,.Hivyo mimi siwezi kumtaja generali Hemeti kama unavyosema wewe.
Ukitaka kujua kuwa upotoshaji ulikuwa ni mkubwa ni katika kusemaj kuna makundi ya waarabu wakiuwa waafrika.Hilo kwa Sudan ninayoijua mimi halipo.Kiarabu ndio lugha kuu ya wenye rangi na weusi.Hata ukiangalia safuj zote za uongozi watu wenye rangi nyeupe ni wachache sana.
kamq hujui usiwe unachangia zipo hadi video za janjaweed huko youtube kijiji kwa kijiji kikichomwa moto , kubaka na kuchinja , USIJITIE UPOFU
 
ana waambien ukwel kuna muda mnaropoka na hiz akili za kulopoka ndo chanzo cha migogoro Afrika , hatuish kwenye uhaisia bali tunais chini ya mwamvul wa mihemko tu , hapo Sudan upo mpk ushaidi kuwa China anawapiganisha na hajaanza leo tangu 2011 mpk silaha za China zilikamtwa huko uwanja wa vita Darfur ( kipind hicho ) , hata huu mgogoro huyo huyo China na wenzie ndo wauzaj wa silaha kwa waasi na magaidi wengi Afrika
Na China ndio mmiliki wa sekta ya mafuta hapo Sudan kwa asilimia zaidi ya 80 ,anamiliki makampuni ya uchimbaji na visima vya mafuta hadi South Sudan ,na hata mapigano ya Sudan Kusini ana husika yeye ,huwezi kumweka mmarekani kwa vyovyote vile pale Suadn hana interest yoyote pale. Sekta ya mafuta ndio iaendesha uchumi wa Sudan na south Sudan
 
kamq hujui usiwe unachangia zipo hadi video za janjaweed huko youtube kijiji kwa kijiji kikichomwa moto , kubaka na kuchinja , USIJITIE UPOFU
Jee huna video za mabomu yakidondoka kwenye madrasa za kiislamu Pakistan na Afghanistan..Kama umeziamini hizo picha kuwa ni za waarabu weusi kwa waafrika unazionaje hizo video za huko Afghanistan na kwenye magereza ya Iraq.
Nionavyo mimi sote hapa hatuna uwezo wa kutofautisha kati ya waarabu weusi na waafrika hata kama tuliamini taarifa hizo.
 
Mauaji ya kimbali pale Darful ni ya kutisha sana ,hamna tofauti na yale ya Rwanda even worse than Rwanda
Jee ulishuhudia au ulitumiwa picha tu kama zile za Osama akidunda milimani na kuzungumza kwa meseji kumbe keshakufa miaka kadhaa iliyopita,.Siku walipomchoka na kutaka kuzika habari zake wakaamua kumuua huku makamanda wakiongozwa na Obama wakiangalia mubashara kutokea ikulu.Tumia akili wewe.
 
Back
Top Bottom