Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Kati ya Burhani na Hemeti nani ashinde Sudan

Al qaeda walikubali yule ni osama na alikufa ila unataka watu wakusikilize na kukuamin wewe
Onesha wapi walikubali. Kwa sababu ni uongo hata maiti yake hawakuikabidhi kwa watu wake badala yake wakasema waliichoma moto halafu wakachukuja majivu yake na kuyatumbukiza kwenye kina kirefu cha bahari kwa kutumia meli za kivita.
 
Yaani kuna watu ni mambwa sana ,hujui hata historia ya hiyo nchi , chuki za kidini na kikabila zilizomo humo ,mauaji ya Darful nayo yalisababishwa na mmarekani au sio ,? ,Civil war iliyosababisha mpaka kujimega kwa south Sudan ilisababishwa na Marekani sio ?
Kenge
Kwamba civil war na mpaka Sudan kugawanyika marekani hakuhusika siyo!?..we ni pwagu
 
Tena chini ya yule gaidi Omar Albashir ambaye ndio aliyetengeneza hilo kundi la magaidi wa Janjaweed waliofanya genocide pale Darful , The heague walitoa hati ya kukamatwa kwake ili ajibu mashtaka ya mauaji ya kimbali dhidi ya wasudan weusi hapo Darful
Hao the Hague mbona hawakutoa hati ya kukamatwa Gaidi bush kwa kuivamia iraq?
 
Kwamba civil war na mpaka Sudan kugawanyika marekani hakuhusika siyo!?..we ni pwagu
kwamba wewe kama raia wa sudan kusin ungesubir marekan akushwawish kujitenga na sudan kaskazim? umeiona khartoum ? inafanana na darfur ? hapo sijashuka huko sudani kusin , tumien akili ubaguz ulikuwa mkubwa sana kati ya sudan kaskazin na sudan kusin , ni mjinga kama wewe ungelaa kimya janjaweed wakuue , msiwe na vituo vya afya wala elimu bora na huku usalama wenu ukiwa mbovu wkt Sudan kaskazin kama mbele tu
 
Kwaio waarabu weusi sio waafrica
wewe ndo unataka wawe waafrika ,nenda sudan halaf kawaite wao waafrika usikie unavyopigwa panga , sis wabantu tuna shobo sana ila wenzetu hawatujai kabisa
 
Huyo hemet kiongoz wa janjaweed hatakiwi kabisa kwa sababu kitu walichokua wanawafanyia waafrika kule darfur ulikua ni ukatili mkubwa sana walikua wanawachinja kama kuku
Hata yeye si muafrika
 
wewe ndo unataka wawe waafrika ,nenda sudan halaf kawaite wao waafrika usikie unavyopigwa panga , sis wabantu tuna shobo sana ila wenzetu hawatujai kabisa
Nmeishi sudan miaka mitatu so faham unaongea na mtu anaeongea kitu anachokijua.

Nan kakwambia Africa ni mtu mweusi?
 
Mbona south Sudan bado wanapigana?
unahisi kama hao sudan kaskazin waliweza kuunda janjawees kuwaua wasudan wa kusin , unahisi wanashindwa vip kufadhiri huo ufedhur wakusin ? Chad na Sudan walifanya hivyo pia huko afrika ya kati , pia Gadaf akifanya hivyo huko Liberia na Sierra Leone , kwann Sudan asifanye hivyo kwa Sudan kusin?
 
Nmeishi sudan miaka mitatu so faham unaongea na mtu anaeongea kitu anachokijua.

Nan kakwambia Africa ni mtu mweusi?
sasa ongea ukwel hapa na usidaganye watu , wao wanajichukuliaje , maana ukidanganya nakuletea video hapa hapa
 
Nmeishi sudan miaka mitatu so faham unaongea na mtu anaeongea kitu anachokijua.

Nan kakwambia Africa ni mtu mweusi?
hakuna sehem nmesema afrika ni kuwa mweusi , soma kwa utulivu , ww hutuliz akili , nmesema sisi wabantu tuna shobo sana wenzetu ( meaning wabara moja wenzetu ) hawatujali kabisa , KIUFUPI ONGEA UKWEL WANAJICHUKULIAJE? LINAPOKUJA SWALA LA KUITWA WAAFRIKA
 
unahisi kama hao sudan kaskazin waliweza kuunda janjawees kuwaua wasudan wa kusin , unahisi wanashindwa vip kufadhiri huo ufedhur wakusin ? Chad na Sudan walifanya hivyo pia huko afrika ya kati , pia Gadaf akifanya hivyo huko Liberia na Sierra Leone , kwann Sudan asifanye hivyo kwa Sudan kusin?
Kaa ufaham kinachowatesa waafrica ni waafrica wenyew. Putin ashawai kusema hili. Ukabila, utawala ni chanzo kikuu cha hii migogoro hao wazungu huitumia kama njia ya kutekeleza ajenda zao.

Nimeishi sudan ukabila upo uchu wa mamlaka upo like ways to chad, south Sudan, Ethiopia, Somalia hata kenya
 
Back
Top Bottom