Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hawa ndio walikutana na waasi 48hrs kabla ya mapigano; Moja kwa Moja ndio wameanzisha hii ishu kumzuia Urusi kifanya Yale waliyokubLiana na serikali ya SudanTaifa Lisilo pitwa
Taifa Ambalo kila mgogoro Dunia Hukosi Mkono wake
Taifa Lisilo Penda Dunia Kutulia
View attachment 2589527
Upotoshaji waafrika walikuwa wanachinjwa kama kuku huko darfur na warabu weusi wa sudani alafu unasema upotoshajiHabari nyingi zilizohusu Sudan kabla kupinduliwa kwa Omar Albashir zilikuwa na lengo la upotoshaji,.Hivyo mimi siwezi kumtaja generali Hemeti kama unavyosema wewe.
Mfano sudan waarabu weusi ambao technical sio warabu eti walikuwa wanabagua waafrika ndo chanzo cha mgogoro sudani na ikapelekea mpaka nchi ikajitengaHistoria ya
Historia ya nchi zote zenye machafuko Africa hii no chuki za kikabila ,kidini na uchu wa madaraka
"Waafrika walikuwa wanachinjwa na waarabu weusi" hapo umesema nini na tukueleweje. Nani mbaya hapo na nani mwafrika kwa akili yako.Upotoshaji waafrika walikuwa wanachinjwa kama kuku huko darfur na warabu weusi wa sudani alafu unasema upotoshaji
hahahaaaa unashindia buku 10 halaf wenzio wanapiga mchongo wa 41BHuko wawana utani kabisa.Nikifikiria taarifa ya CAG, muda mwingine unatamani tuwaige wasudani.
jichunguze akili mnagombania madaraka hlf mnasingizia wengineTaifa Lisilo pitwa
Taifa Ambalo kila mgogoro Dunia Hukosi Mkono wake
Taifa Lisilo Penda Dunia Kutulia
View attachment 2589527
Kuna maamuma wanasema Marekani anahusika ,uliuliza taahira kama hilo ,hebu elezea Marekani anahusika vipi , hamna majibuMfano sudan waarabu weusi ambao technical sio warabu eti walikuwa wanabagua waafrika ndo chanzo cha mgogoro sudani na ikapelekea mpaka nchi ikajitenga
mbona kwao hakuna vita ? ukorofi upo akilin mwenu , viongoz wabinafs ndio hatima ya vita sio mkono wa mtu yeyote yule , nchi za dunia ya tatu zina viongoz wabinafs sana na ndio chanzo cha vitaLinapokuja suala la kutafuta amani sehemu zenye vita hawa bora wakae kimya tu.Hawajawahi kuunga mkono amani.
Tena chini ya yule gaidi Omar Albashir ambaye ndio aliyetengeneza hilo kundi la magaidi wa Janjaweed waliofanya genocide pale Darful , The heague walitoa hati ya kukamatwa kwake ili ajibu mashtaka ya mauaji ya kimbali dhidi ya wasudan weusi hapo DarfulMfano sudan waarabu weusi ambao technical sio warabu eti walikuwa wanabagua waafrika ndo chanzo cha mgogoro sudani na ikapelekea mpaka nchi ikajitenga
Na yeye ndo chanzo cha Mgogoro wa sasa, anataka kuwa Kiongozi wa hicho Kikosi kisicho rasmi kwa maisha.Huyo hemet kiongoz wa janjaweed hatakiwi kabisa kwa sababu kitu walichokua wanawafanyia waafrika kule darfur ulikua ni ukatili mkubwa sana
ana waambien ukwel kuna muda mnaropoka na hiz akili za kulopoka ndo chanzo cha migogoro Afrika , hatuish kwenye uhaisia bali tunais chini ya mwamvul wa mihemko tu , hapo Sudan upo mpk ushaidi kuwa China anawapiganisha na hajaanza leo tangu 2011 mpk silaha za China zilikamtwa huko uwanja wa vita Darfur ( kipind hicho ) , hata huu mgogoro huyo huyo China na wenzie ndo wauzaj wa silaha kwa waasi na magaidi wengi AfrikaHizi hasira za kutukana watu dalili ya ufukara wa hoja ndugu. Staarabika sio Kila kitu mpaka utukane ndo ueleweke.
Kusema ukweli ndo atukane. Kutoa matusi mara nyingi ni dalili ya kutojiamini.ana waambien ukwel kuna muda mnaropoka na hiz akili za kulopoka ndo chanzo cha migogoro Afrika , hatuish kwenye uhaisia bali tunais chini ya mwamvul wa mihemko tu , hapo Sudan upo mpk ushaidi kuwa China anawapiganisha na hajaanza leo tangu 2011 mpk silaha za China zilikamtwa huko uwanja wa vita Darfur ( kipind hicho ) , hata huu mgogoro huyo huyo China na wenzie ndo wauzaj wa silaha kwa waasi na magaidi wengi Afrika
kamq hujui usiwe unachangia zipo hadi video za janjaweed huko youtube kijiji kwa kijiji kikichomwa moto , kubaka na kuchinja , USIJITIE UPOFUHabari nyingi zilizohusu Sudan kabla kupinduliwa kwa Omar Albashir zilikuwa na lengo la upotoshaji,.Hivyo mimi siwezi kumtaja generali Hemeti kama unavyosema wewe.
Ukitaka kujua kuwa upotoshaji ulikuwa ni mkubwa ni katika kusemaj kuna makundi ya waarabu wakiuwa waafrika.Hilo kwa Sudan ninayoijua mimi halipo.Kiarabu ndio lugha kuu ya wenye rangi na weusi.Hata ukiangalia safuj zote za uongozi watu wenye rangi nyeupe ni wachache sana.
Na China ndio mmiliki wa sekta ya mafuta hapo Sudan kwa asilimia zaidi ya 80 ,anamiliki makampuni ya uchimbaji na visima vya mafuta hadi South Sudan ,na hata mapigano ya Sudan Kusini ana husika yeye ,huwezi kumweka mmarekani kwa vyovyote vile pale Suadn hana interest yoyote pale. Sekta ya mafuta ndio iaendesha uchumi wa Sudan na south Sudanana waambien ukwel kuna muda mnaropoka na hiz akili za kulopoka ndo chanzo cha migogoro Afrika , hatuish kwenye uhaisia bali tunais chini ya mwamvul wa mihemko tu , hapo Sudan upo mpk ushaidi kuwa China anawapiganisha na hajaanza leo tangu 2011 mpk silaha za China zilikamtwa huko uwanja wa vita Darfur ( kipind hicho ) , hata huu mgogoro huyo huyo China na wenzie ndo wauzaj wa silaha kwa waasi na magaidi wengi Afrika
Hana akili huyo , hizo smartphone wanazitumia kuangalia udaku na porno Tu , ,hawachimbi maarifa .kamq hujui usiwe unachangia zipo hadi video za janjaweed huko youtube kijiji kwa kijiji kikichomwa moto , kubaka na kuchinja , USIJITIE UPOFU
Mbona Museveni anadunda...Mapinduzi ya kijeshi mara zote huwa yanakawaida ya kujirudia tena..
Ukikaa madarakani Kwa mkono wa mapinduzi IPO siku utapinduliwa tu
Jee huna video za mabomu yakidondoka kwenye madrasa za kiislamu Pakistan na Afghanistan..Kama umeziamini hizo picha kuwa ni za waarabu weusi kwa waafrika unazionaje hizo video za huko Afghanistan na kwenye magereza ya Iraq.kamq hujui usiwe unachangia zipo hadi video za janjaweed huko youtube kijiji kwa kijiji kikichomwa moto , kubaka na kuchinja , USIJITIE UPOFU
Jee ulishuhudia au ulitumiwa picha tu kama zile za Osama akidunda milimani na kuzungumza kwa meseji kumbe keshakufa miaka kadhaa iliyopita,.Siku walipomchoka na kutaka kuzika habari zake wakaamua kumuua huku makamanda wakiongozwa na Obama wakiangalia mubashara kutokea ikulu.Tumia akili wewe.Mauaji ya kimbali pale Darful ni ya kutisha sana ,hamna tofauti na yale ya Rwanda even worse than Rwanda