Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa mzalendo?

Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa mzalendo?

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi?

Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa.

Huyu Bwege alikuwa Mzalendo kweli
 
Kati ya Bwege na Lukuvi nani alikuwa fisadi?
Jibu tunalo wengi ni Bwege pamoja na shida zake alikuwa Mzalendo na tutamkumbuka kwa hilo. Hajauza nafsi yake kwa pesa. Huyu Bwege alikuwa Mzalendo kweli
Acheni mizaha kwenye mambo ya misiba jamani hizo sio siasa
 
"Mzalendo, Mzalendo, Mzalendo".

Maneno yanatumika tu bila kujuwa maana yake ni nini.
Halafu hiyo iwe ni mada ya kujadiliwa JF?

Kuna mashindano ya kuleta mada hafifu humu jukwaani siku hizi?

Uzalendo unaishia kwenye kutokuwa "fisadi"?

Halafu hata mizani unayotumia kupima huijui. Ulimpa fursa huyo Bwege kwa kumweka mahala wezeshi n kama ilivyokuwa kwa huyo Lukuvi ukaona kweli kwamba hakuwa na ufisadi ndani yake?
 
Acha kumfananisha mwananchi na fisadi! Hao watu wako dunia mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom