Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

1.Dental (hii ukijiajiri sehemu poa utapiga hela maana utafanya vitu vingi)
2.Radiology(hii kuajiriwa unapata ,kujiajiri nzuri pia ila hutafanya vitu vingi kutokana na ughali wa vifaa vyake ukitoa ultrasound).
3.Clinical medicine huu utaajiriwa na serikali ila mtaa unejas now ni kozi nzuri kama unataka future kubwa kwenye ishu ya kutibu.
 
Nisaidie na me Nina wish kusomea hyo kozi je ni chuo gani cha government kizuri kinachotoa hyo kozi ukiondoa muhas kwa diploma lakini
Now viko vingi omba dirisha liko wazi kuna Mbeya,Kigoma nk wanatoa muhimu nenda kadownload guide book ya mwaka huu utaona. Mwisho wa kuomba ni tarehe 30 mwezi huu.
 
Back
Top Bottom