Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?

1.Radiology
2.Dentistey
3.Optometery
4.Nursing
5.Biomedical Engineering.
 
1.Dental (hii ukijiajiri sehemu poa utapiga hela maana utafanya vitu vingi)
2.Radiology(hii kuajiriwa unapata ,kujiajiri nzuri pia ila hutafanya vitu vingi kutokana na ughali wa vifaa vyake ukitoa ultrasound).
3.Clinical medicine huu utaajiriwa na serikali ila mtaa unejas now ni kozi nzuri kama unataka future kubwa kwenye ishu ya kutibu.
Thanks kwa advice yako
 
Dentist nzuri sana japo wabongo afya ya kinywa sio kipaumbele jino likiuma anang'oa na mkaa
 
Back
Top Bottom