mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Hapana sijaipotia ,Kuna mtu wangu wa karibu sana alinishauri nimsomeshe kijana wangu course hiyo (radiology) kwani soko lake la ajira walau lipo vizuri ukilinganisha na clinical medicine na nyinginezoSamahan kwan wew ushaipitia iyo course?