Hapana sijaipotia ,Kuna mtu wangu wa karibu sana alinishauri nimsomeshe kijana wangu course hiyo (radiology) kwani soko lake la ajira walau lipo vizuri ukilinganisha na clinical medicine na nyinginezoSamahan kwan wew ushaipitia iyo course?
Hapana sijaipotia ,Kuna mtu wangu wa karibu sana alinishauri nimsomeshe kijana wangu course hiyo (radiology) kwani soko lake la ajira walau lipo vizuri ukilinganisha na clinical medicine nanyingi
🤣🤣🤣wadau tumsanue dogo ?Kati ya Clinical Medicine, Dentist na Radiology ipi ni kozi nzuri kwa sasa?
Principles inasema ukisoma vitu vigumu pia utaishi maisha magumu(complication).Ina ugumu gani hyo kozi guys
Mmmh mna mbona rahis tuuPrinciples inasema ukisoma vitu vigumu pia utaishi maisha magumu(complication).
Wanadau msanueni mdogo wetu
Kigoma mtu angEeh vp selection tayar wapi umepangwa mkuu