Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DED = District Executive Director, DAS = District Administrative Secretary & DC = District Commissioner. Wote hao ni kuteuliwa na kutumbuliwa wakati wowote. Nani mkubwa hapoKWANZA ded kirefu chake nn kipi
Huu nao ni ushahidi kuwa wateule wa rais katika TZ ni ngumu hata kufanya kazi. Kwani wote ni wateule wa mkulu na ni rahisi hata kufitiniana.Nimepata mkanganyiko kujua nani bosi wa mwenzake kati ya DAS na. DED naomba kuelemishwa mwenye kujua.
Revisit your protocol list.DED ndio mkubwa hapo
Mi naona hapo DED ni mpanga mikakati ya maendeleo wakati DAS ni mambo utawala aka Uongozi na DC ni mwanasiasa wa wilaya, huyu wa mwisho hana lolote ila chake ni siasa tu.DED = District Executive Director, DAS = District Administrative Secretary & DC = District Commissioner. Wote hao ni kuteuliwa na kutumbuliwa wakati wowote. Nani mkubwa hapo
Ukubwa wa DED labda kwa kuwa ana mafungu anayasimamia tofauti na DAS lakini kiitifaki DAS yupo juu ya DEDDED ndio mkubwa hapo
Upo sahihi kabisa, ila vyeo vyao vinafanana yaani hakuna mkubwa zaidi ya mwenzake hata maslahi na stahili zao zinafananaDAS anawajibika kwa RAS, hali kadhalika DED. Hivyo hakuna line ya uwajibikaji wa moja kwa moja wa DED kwa DAS. Hata hivyo kiitifaki DAS yupo juu zaidi ya DED.
Niongeze kwamba DAS anauwezo wa kumuita DED ofisini kwake na akamuagiza cha kufanya. Lakini DED hawezi kufanya hivyo kwa DAS.
DC anateuliwa na Rais wa Jamhuri lakini DED anateuliwa na Waziri wa TAMISEMI. DC anakazi zake na DED anakazi zake, hawaingiliani.Huu nao ni ushahidi kuwa wateule wa rais katika TZ ni ngumu hata kufanya kazi. Kwani wote ni wateule wa mkulu na ni rahisi hata kufitiniana. Angalia hata DC na DED, ndio maana utasikia wilaya fulani DC na DED hawaelewani na hapo mkuu asipoingilia kwa kusitisha uteuzi wa mmoja au wote basi hata maendeleo mnasubiri miaka hata 10.
DED maana yake niKWANZA ded kirefu chake nn kipi
Hili ndo jibu sahihiDAS anawajibika kwa RAS, hali kadhalika DED. Hivyo hakuna line ya uwajibikaji wa moja kwa moja wa DED kwa DAS. Hata hivyo kiitifaki DAS yupo juu zaidi ya DED.
Niongeze kwamba DAS anauwezo wa kumuita DED ofisini kwake na akamuagiza cha kufanya. Lakini DED hawezi kufanya hivyo kwa DAS.
Nimepata mkanganyiko kujua nani bosi wa mwenzake kati ya DAS na. DED naomba kuelemishwa mwenye kujua.
Una haki ya kuchanganyikiwa mkuu,hata mimi huwa nachanyikiwa,lakini naona kama wako at par,ingawa wakati mwingine naona kwa vile DAS ndiye kiongozi wa watumishi wote Wilayani,basi DED yuko chini ya DAS.Inachanganya kwa kweli.Nimepata mkanganyiko kujua nani bosi wa mwenzake kati ya DAS na. DED naomba kuelemishwa mwenye kujua.
Upo sawa. DAS anauwezo wa kumuagiza DED/MKURUGENZI, Lkn huyu DED ndiye mwenye mafungu na watumishi wooote uwajuao waliopo karibu nawe Ie walimu, wauguzi, ELIMU nk. DED ni kazi ngumu. Hao wooote, RAS, DAS DC & RC na ma Wizara yote ukiacha ya ulinzi na mambo ya ndani kwa uchache huagiza kwa DED ili atekeleze. DED sio mchezo. Huyu DED siku akiwa Mbunge au Katibu Mkuu nk huwa kiongozi mzuri sana kwa kuwa kaishi na watu/watumishi sana, kalaumiwa na kupongezwa sana tu, so anajua uhalisia wa mambo MENGI.DAS anawajibika kwa RAS, hali kadhalika DED. Hivyo hakuna line ya uwajibikaji wa moja kwa moja wa DED kwa DAS. Hata hivyo kiitifaki DAS yupo juu zaidi ya DED.
Niongeze kwamba DAS anauwezo wa kumuita DED ofisini kwake na akamuagiza cha kufanya. Lakini DED hawezi kufanya hivyo kwa DAS.