Kati ya Dodoma na Arusha wapi pazuri kujenga apartment kwa ajili ya biashara ya Airbnb?

Mkuu wekeza Arusha utaona faida yake, watu wasikutishe ugumu wa kupata eneo Arusha ukiwa na pesa nzuri utapata maeneo mazuri tuu
 
Jenga Dodoma uone labda upangishie wanachuo ..
hivi Dodoma kuna biashara gani ya maana? Unaona huku wengi ni watumishi na watu wanaokuja interviews, wanafunzi na Bunge wakienda likizo huwa mahame
 
Shida sio kuwa uwanja mkubwa wa ndege , isue ni kitu gani kita influence watu wapande ndege kuja huko msalato

Na kwa bahati mbaya zaidi watalii ndo huwa wanapanda ndege zaidi za kimataifa

Sasa Mimi na ww tujiulize watakuja Dodoma kufanya nn

Hujui statistics ndo maana huwezi ni elewa :

- Unajua percentage ya watalii wanaoshuka Dar / Zanzibar kwa ajili ya kutalii kaskazini?

- Unajua cost za transfer Dar es salaam / Zanzibar kuja Arusha? Ambapo is about 10 hours - road transfer? About: $500 private transfer

- Unajua Kilimanjaro International airport ndo pekee Tanzania ina feed Kaskazini ukiacha Nairobi? Nyingine ni Dar and Zanzibar ambazo zipo 700km away.

- Unajua Msalato International airport itakuwa second airport closer to National parks za Kaskazini ambapo ni 450km away. Na kuna usafiri wa Ma Bus kutwa?

- Unajua kutoka Dodoma kuja Arusha, kwenda serengeti, Manyara, Tarangire and Ngorongoro unaishia Makuyuni? About 80km less?

- Unajua capacity na facilities za Msalato airport ni far, way better than any aiport in Tanzania, zita attract ndege nyingi zaidi?

- Unajua wewe fala idadi ya watalii wanoenda Ruaha toka Dar es salaam airport, ambapo: ni less KM compared to wanaoshuka Dar es salaam.

- Unajua kuna maximum take departure and arrival lisence kwenye particular airport ambapo inatakiwa kuwa observed.

- Unajua strategic areas za Dodoma/ msalato hazijatumika, compared to Arusha/ Kilimanjaro ambapo:

Karibu na airport :

  • Kuna Moivaro lodge.
  • Planet lodge
  • Mount Meru game
Arusha Coffee lodge.
... 134557 za kutosha.

Unajua close to Msalato airport bado hata hapana maandalizi yeyote ya kuweza ku accommodate hiyo capacity in 3 years time.

Conclusion :

1. Tofautisha kuwekeza na kutumia 100m ya pension, Dodoma kwenye issue za Hotel / air bnb name anything zaidi ya Arusha kwa sasa.

Leta hoja.
 
Kwa ishu ya watalii ni Arusha,kwa ishu ya hostel kwa ajili ya wanachuo na wafanya interview Dodoma the best.
So inategemea na market yake anataka ipi kutageti Arusha na Dodoma is equal market but nature ya customer is different
 
Hujui statistics ndo maana huwezi ni elewa :

- Unajua percentage ya watalii wanaoshuka Dar / Zanzibar kwa ajili ya kutalii kaskazini?

- Unajua cost za transfer Dar es salaam / Zanzibar kuja Arusha? Ambapo is about 10 hours - road transfer? About: $500 private transfer

- Unajua Kilimanjaro International airport ndo pekee Tanzania ina feed Kaskazini ukiacha Nairobi? Nyingine ni Dar and Zanzibar ambazo zipo 700km away.

- Unajua Msalato International airport itakuwa second airport closer to National parks za Kaskazini ambapo ni 450km away. Na kuna usafiri wa Ma Bus kutwa?

- Unajua kutoka Dodoma kuja Arusha, kwenda serengeti, Manyara, Tarangire and Ngorongoro unaishia Makuyuni? About 80km less?

- Unajua capacity na facilities za Msalato airport ni far, way better than any aiport in Tanzania, zita attract ndege nyingi zaidi?

- Unajua wewe fala idadi ya watalii wanoenda Ruaha toka Dar es salaam airport, ambapo: ni less KM compared to wanaoshuka Dar es salaam.

- Unajua kuna maximum take departure and arrival lisence kwenye particular airport ambapo inatakiwa kuwa observed.

- Unajua strategic areas za Dodoma/ msalato hazijatumika, compared to Arusha/ Kilimanjaro ambapo:

Karibu na airport :

  • Kuna Moivaro lodge.
  • Planet lodge
  • Mount Meru game
Arusha Coffee lodge.
... 134557 za kutosha.

Unajua close to Msalato airport bado hata hapana maandalizi yeyote ya kuweza ku accommodate hiyo capacity in 3 years time.

Conclusion :

1. Tofautisha kuwekeza na kutumia 100m ya pension, Dodoma kwenye issue za Hotel / air bnb name anything zaidi ya Arusha kwa sasa.

Leta hoja.
Mkuu we ushadanganywa na madalali ukanunua kiwanja huko ,pole mkuu
 
mkuu hizi unazoongea ni theories..Dodoma haitakaa iifikie arusha kwa utalii...arusha ipo 3hrs drive to Nairobi (hub ya wageni kwa east Africa)..mara nyingi watalii/wageni wanakuja na ndege wanatua nairobi wanapanda shuttles/ gari za kitalii moja kwa moja to arusha & mbugani..hali ya hewa ya arusha ni sawa na nairobi na ndio wanachopendea...ukaribu wa arusha na nairobi jiji lenye kila kitu including airport yenye connections nyingi ukanda wetu huwezi linganisha na dom kwa sasa hata 20yrs from now.
 
Biashara ya air bnb kwa huku kwetu afrika inafanyika sana kwenye miji yenye utaliii au airports kubwa .
Arusha ndio sehemu sahihi ina utalii na ipo karibu sana na KI, dodoma utapoteza tu pesa yako .
 
Mkuu we ushadanganywa na madalali ukanunua kiwanja huko ,pole mkuu

Laiti ungalijua usingesema hayo maneno. Nilichowekeza wakati nina 33 years kwa akili, ndo kinanilisha mpaka leo nina 54 years.

Nilinunua land Kerege Bagamoyo 10m wakati Baba yako anaenda toa mahari Mama yako aoelewe, 16 years ago heka 10 nimevikata na kuuza mpaka sasa nimeuza about: 96m.

Kuwekeza ndo maisha yetu, biashara ndo kipaumbele baada ya kutoka Ibada kanisan.
 
Watu awaelewi kabisa maana ya Airbnb,hila uliyeleta mada hii nakushauri ujenge Arusha kwa sababu hata bei zake ni nzuri,Dodoma jenga nyumba ya kupanga au lodge.Airbnb mara nyingi zinajengwa kwenye tourist location or hub.Dodoma kwa sasa bado.Zanzibar na Dar es salaam ni sawa.Japo ushindani ni mkubwa siku hizi sio kama zamani wakati zinaanza.
 
Laiti ungalijua usingesema hayo maneno. Nilichowekeza wakati nina 33 years kwa akili, ndo kinanilisha mpaka leo nina 54 years.

Nilinunua land Kerege Bagamoyo 10m wakati Baba yako anaenda toa mahari Mama yako aoelewe, 16 years ago heka 10 nimevikata na kuuza mpaka sasa nimeuza about: 96m.

Kuwekeza ndo maisha yetu, biashara ndo kipaumbele baada ya kutoka Ibada kanisan.
Hongera mkuu
 
Dodoma inakuzwa kwa kasi na Maneno ila uhalisia wa Dodoma Bado pako hovyo sana
 
Back
Top Bottom