Kati ya Fani zifuatazo unashauri kijana aliyemaliza chuo ajifunze kwa future?

Makebo ndio habari ya mjini,kama unahtaji afanikiwe basi nichek pm nimuoe. Kazi yake ni chuma mboga tu faida mnapata faida.
 
Lathe machine operations. Vijana hawajastukia hili chimbo! Kijue chuma, then jua namna ya kukichonga kwa mashine hiyo inaitwa Lathe.
Ni fani nzuri, inaitwa Fitter/Tuner lakini shida iko kwenye kujiajiri, lazima update set ya machine zote kama Miling machine, Sheper na Lathe Mashine na driling ambazo ukipata used ni bei kubwa sana,

Ukiajiriwa hutoboi, utaishia kufanya kazi kwenye Workshop za Wahindi kwa ujira Mdogo,

Nawajua jamaa walifanya kazi AUTO MESH TABATA hadi wanazeeka hawana walichopata cha maana, mwisho Mhindi kauza Workshop Kawakimbia,
 
Kuajiriwa ukiwa umesoma "craftsmanship" yeyote ni ufala shee!
Hao wazee ni mindset zao mbaya. Kwa 4M unapata min-Lathe mashine ndogo, used ya Britain nzuri tuu, unafungua goli, unachonga chuma hapo. Watakuja tuu.
 
Kazi na umri mkuu, hao wazee wako kwenye miaka zaidi ya 60, waliridhika na ajira ya Mhindi hawakuwa na mawazo ya kujiongeza,
Lakini kwa fani hii ukiweza kujiajiri unapiga hela ndefu sana, bado mafundi waliojiajiri sio wengi sana
 
Akili za kizee hizo, kuamka asubuhi kuchomekea kwenda kupanga foleni getini kwenye plant ya mhindi. Lathe machine operations hata ukiwa uchochoroni watu wataleta vyuma uchonge, hapo badae unaongeza milling machine, bandsaw, hydraulic press, welder la kibabe, aluminium na chuma, bench drill kutoboa, plasma cutter na driling.

Tukazi twingine utaongezapo tuu hapo gereji, kama welder ndogo ndogo n.k
Hakuna mashine utashindwa kuunda hapo, hakuna kazi ya chuma utashindwa kufanya hapo na vijana wako. Kuliko kuzeekea kwa muhindi huko mara akipige vibao. 😁

Hizo mashine ni bei reasonable; Lathe ndogo ya mita moja, inaanzia 6M, drilling nzuri Wilson, ukiwa na 3.5 unaoata used Uingereza. Unaanza na Lathe ndogo kama mashine ya mbilimbi; kakuanzia, kikubwa usishindwe kufanya kazi.
 
Umemaliza yote mkuu, hakika hii fani unaifahamu vizuri,
Na hii sio mafundi tu hata anaetaka kuwekeza anaweza kuwekeza humo, gharama ni ndogo na faida ni kubwa sana,
 
Back
Top Bottom