Umemaliza yote mkuu, hakika hii fani unaifahamu vizuri,
Na hii sio mafundi tu hata anaetaka kuwekeza anaweza kuwekeza humo, gharama ni ndogo na faida ni kubwa sana,
Vijana wa kiume nendeni mkasomee mapiko.....mapiko ya kizungu, kichina, kihindi nk.
Upishi ni fani inayolipa sana hasa kwa vijana wa kiume ila wengi hawajui.
Ajira za nje ya nchi ni kugusa tu
Mtanishukuru.