Kati ya Fiston Mayele na Moses Phiri nani mtu hatari zaidi katika suala la kufunga?

Kati ya Fiston Mayele na Moses Phiri nani mtu hatari zaidi katika suala la kufunga?

Kolo wahuni nyie. Mlianzishaga uzi "kibu vs mayele", chama vs mayele sasa mmeutelekeza mmekuja na phiri vs mayele.
Baada ya hapo mzungu wenu akifunga vigoli viwili mtakuja mzungu vs mayele.
. Yaan mayele huyohuyo anapiganishwa na idadi kubwa ya wachezaji.

Mayele tuvuke mipaka sasa apiganishwe na akina Halland, Messi, Benzema, Mbape n k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyeshindwa battle na Mpoleee??? Utopolo mnachekesha sana nyie, khaaaah.
 
Habari, kama thread inavyosema, hivi kati ya Mayele mfalme wa Jangwani na Phiri mfalme wa Msimbazi, nani ni mtu hatari zaidi bila ushabiki.
upo zako unaangalia mpira wa mexico vs poland, au australia vs france, afu mtu analeta story za mayele au firi sijui nini, inachefuaaa balaa. kwamba hao nao wanajua mpira? wasubiri hadi kombe la dunia liishe ndio wajadiliwe.
 
Unaliza mk....wa mbwa wakati mkia unauona?
Mtu ame trend
Mitaani
Nyumba za ibada
Bungeni..
Maharusini
Mashuleni
Makazini....
Majeshini...
Nje ya nchi...nk

Hadi uwanja wa mazoezi bunju wachezaji wa simba wameonekana wakishangilia kwa style yake!(video ipo)
Bado unamtafuta wa kumzidi hapa tz?

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
upo zako unaangalia mpira wa mexico vs poland, au australia vs france, afu mtu analeta story za mayele au firi sijui nini, inachefuaaa balaa. kwamba hao nao wanajua mpira? wasubiri hadi kombe la dunia liishe ndio wajadiliwe.
Kolo weee
 
Ni mashabiki mnaolazimisha Phiri afananishwe na Mayele wakati wanacheza nafasi tofauti. Lakini pia viwanja vya mikoani bado vinampa shida Moses Phiri.
 
Back
Top Bottom