version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🙏🙏Hayo magari uliyochagua yanafanana sana performance barabarani
Tofauti yake ni ndogo tu;
1. Ford ranger ina Luxury finishing (ndani na nje)
2. Ford Ranger - spare zake ni ghali na hazipatikani Nchini ni hadi uagize
3. Driving yake ni luxury na unaweza kuweka 4wheel ukiwa ndani)
Landcruiser- Pickup
1. Ni gari imara sana (Engine ya 1HZ ni moja ya engine ambazo ni heavy duty)
2. Inatengenezeka kwa urahisi kwasababu mafunzi wamezizoea
3. Spare zipo zote hapa Nchini kwa kuwa ndiyo magari yanatumiwa na watalii
4. Bodi yake ni rahisi kuibadilisha unavyotaka
Kwa ushauri wangu; chukua Landcruiser na unaweza kuendesha wewe hata mjukuu akaiendesha
Nenda na ford hizo land cruiser za kizamani mkuu.Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".
Muda mrefu litakuwa likitumika Kanda ya Ziwa na mara chache Nyanda za Juu Kusini, hasa Rukwa na Katavi.
SIFA ZA GARI LINALOHITAJIKA:
1. Double Cabin Pick Up
2. Limudu safari ndefu za mara kwa mara
3. Limudu barabara za aina zote: lami, vumbi, na hata zenye utelezi nyakati za mvua
4. Liwe na uwezo wa kubeba mizigo midogo mara kwa mara na wakati mwingine muda mrefu - kutoka Mkoa mmoja hadi mwingine au mingine
5. Lililo na uwezekano wa kudumu
muda mrefu.
Lipi linakidhi hivyo vigezo kati ya FORD RANGER na LAND CRUISER?
Kuna lililo bora zaidi kuzidi hayo machaguo mawili?
View attachment 2751225View attachment 2751229View attachment 2751231View attachment 2751238View attachment 2751239
Embu acha uongo ndugu,nina ford mwaka wa nne sasa,spea zakumwaga na wala sijawahi kuagiza nje,usimtishe jamaa spea ni bei chee mno ,msidanganye watu humuHayo magari uliyochagua yanafanana sana performance barabarani na hata uimara
Tofauti yake ni ndogo tu;
1. Ford ranger ina Luxury finishing (ndani na nje)
2. Ford Ranger - spare zake ni ghali na hazipatikani Nchini ni hadi uagize
3. Driving yake ni luxury na unaweza kuweka 4wheel ukiwa ndani)
Landcruiser- Pickup
1. Ni gari imara sana (Engine ya 1HZ ni moja ya engine ambazo ni heavy duty.
2. Inatengenezeka kwa urahisi kwasababu mafundi wamezizoea
3. Spare zipo zote hapa Nchini kwa kuwa ndiyo magari yanatumiwa na watalii
4. Bodi yake ni rahisi kuibadilisha unavyotaka
Kwa ushauri wangu; chukua Landcruiser na unaweza kuendesha wewe hata mjukuu akaiendesha
Wakuu sina uzoefu sana na magari ila kuna hizi gari za land rover 110, japokuwa zimesitishwa kutengenezwa lakini nahisi ni gari ambalo liko akilini mwangu tokea zamani.Kwa kuwa umesema itabeba mizigo midogo chukua Ford ipo comfortable, japokuwa cruiser haina mpinzani ila ni kama umepanda punda
LC hazinaga mwendo; inachapwa hadi na Rav4, Crown, Subaru, etc! Ila kwa kuwa sio kwa ligi za barabarani, kwa off-road business iko vizuri.Mkuu, unaweza ukafafanua kidogo hapo kwenye "kama umepanda punda"?
Mkuu, umeamua kututisha siyo!View attachment 2751601Chuma hicho!
😀Acha kufananisha landcruiser na vitu vya kijinga
🙏Mkuu LC chuma iliyotestiwa mount Fuji Japan haina mpinzani kwenye mishe za field
Acha kufananisha LC na magari ya kibishoo.Ingawa yote ni magari ya kazi, nahisi kuna linalomudu zaidi mazingira ya "kipori pori" kuzidi "jenzake".