Kati ya Ford Ranger Double Cabin na Land Cruiser Double Cabin, lipi ni gari bora zaidi kwa kazi za "porini"?

cruiser kwenye maintenance ni cheap kuliko ford, interms of spare parts na mafundi ila kwenye durability ford ranger Hana mpinzani
You cant be giving an advantage of durability ford ranger over Landcruiser hard top. Ford hana an equivalent to Landcruiser hardtop kwe ye durability wala kwenye class ya LC.

Ranger mfananishe na kina hilux, au kina prado. They belong to the same class...ila sio kwa LC.
 
1hz japo ni ngumu lkn driving costs ipo juu kwa sasa kama utaangalia fuel efficiency na ndio maana matoleo yajayo hayatakuwa na injini hiyo.Suala la ulaji wa mafuta linaangaliwa sana na makampuni ili kuweza ku conquer soko.Gari inasafiri na watu wawili(boss na dereva)na lina cc 4200 na mwendo halina kulinganisha na la cc 2000 hayo ni matumizi mabaya ya pesa.
 
Kwenye durability kweli 1hz ni kiboko ila kwa power ford ranger ni zaidi labda hiyo LC iwe ile yenye injini ya 1VD FTV.
[emoji13][emoji13][emoji13] Kuna Ford ranger na kuna Ford Raptor, Ford F150, Ford F250, Ford F350, Ford F450, Ford F550, Ford F650 mpaka F950 hukooo

Ford ranger kalinganishe na Hilux bro yaani hana maajabu ya kumlinganisha na LC70, Hata Nissan NP300 anaetumiwa na Yarp Markez ana nguvu kuliko ranger [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Labda kama utazungumzia ford hizo zingine lakini sio Ranger

Ni huu uzi naona tunashindanisha Nyuki na Nzi, wakati waundaji wenyewe wanapambana sokoni kwa product hizi

Toyota - Hilux
Ford - Ranger
Volkswagen - Amarok
Nissan - Navara/ Hardbody
Isuzu - Dmax
Mazda - BT50
Honda - Ridgeline
Tata - Xenon
Mitsubishi - Triton

Toyota mbali na Hilux anazo V8 dual cab Toyota Tundra/ Toyota Tacoma kutokana na kukua kwa technology ameanza kutoa matoleo ya V6 engines zenye performance kubwa na fuel efficiency nzuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani we Nguvu ya gari unaipimaje? Maana umei'outsmart' Ranger vibaya sana!!
 
Hata kwa akili tu ya kawaida huwezi kulinganisha LC na uchafu mwingine! Chukua LC utakuja kutuletea taarifa! Mashine naikubali sana ile!
 
Kama unatafuta kupata Bawasili na kupoteza nguvu za kiume tumia Lc no comfortability.
Kwa kweli ni utility vehicle.
Kingine ni vile LC ipo kitambo kama Shell filling station imefanya kila kituo cha mafuta kiitwe shell hata kama ni PUMA.
Tunasumbuliwa na mazoea tu. Kumbe mbadala wake upo
 
Mkuu kwani we Nguvu ya gari unaipimaje? Maana umei'outsmart' Ranger vibaya sana!!
Ahahaaa nimetumia gari zote, Ford, Nissan, Hilux zote O Km, ilichonacho cha ziada Ford ranger ni comfortability tu.

Field huko kuna magari yake bro.

Serikali inanunua LC, hizo ford haizioni au haizijui????

Taasisi ngapi za kiraia naona zimejazana kwenye LC hizo Ford haizioni???

ISIS, huko Middle East, fleet lao ni full LC na Hilux tena vitu mang'anyu. Hizo Ford hawazioni????

M23 huko Goma wanatumia vyuma vipi???
 
Jibu swali nguvu ya gari unaipimaje?hakuna aliyesema lc70 sio ngumu na kwanini isiwe ngumu injini ya toka 90 huko au tunalinganisha ugumu tu , hiyo 129 hp unaiona ni nguvu kubwa sana kuliko3f, 1fz,1gr,1vd,1hd zilizowahi kuwekwa humo kwenye 70series?tueleweshe nguvu ipo kwenye body au engine?!kuna comfortability,power,fuel consumption,durability...wewe unataka tuchague kipi?
 
On my experience na hizo gari Ranger nimuonekano na comfortability tu sio kwa kazi....

Sehemu kibao tu, huko kibondo, nilihitaji msaada wa kuvutwa. Tofauti na gari ningine nilizotumiia.

Kwa upande wangu field siwezi

Field [emoji724]
Mission town [emoji736]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…