[emoji13][emoji13][emoji13] Kuna Ford ranger na kuna Ford Raptor, Ford F150, Ford F250, Ford F350, Ford F450, Ford F550, Ford F650 mpaka F950 hukooo
Ford ranger kalinganishe na Hilux bro yaani hana maajabu ya kumlinganisha na LC70, Hata Nissan NP300 anaetumiwa na Yarp Markez ana nguvu kuliko ranger [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Labda kama utazungumzia ford hizo zingine lakini sio Ranger
Ni huu uzi naona tunashindanisha Nyuki na Nzi, wakati waundaji wenyewe wanapambana sokoni kwa product hizi
Toyota - Hilux
Ford - Ranger
Volkswagen - Amarok
Nissan - Navara/ Hardbody
Isuzu - Dmax
Mazda - BT50
Honda - Ridgeline
Tata - Xenon
Mitsubishi - Triton
Toyota mbali na Hilux anazo V8 dual cab Toyota Tundra/ Toyota Tacoma kutokana na kukua kwa technology ameanza kutoa matoleo ya V6 engines zenye performance kubwa na fuel efficiency nzuri
Sent using
Jamii Forums mobile app