Kati ya Ford Ranger Double Cabin na Land Cruiser Double Cabin, lipi ni gari bora zaidi kwa kazi za "porini"?

LC ni moja kati ya gari nzuri ya kufanyia kazi kwenye mapori
 
Ukitaka comfortability chukua ford , ukitaka reliability chukua Land cruiser...
 
Bei ya Land Cruiser ataiweza? Webuycars nimenunua vyuma kadhaa Johannesburg (Dome na South) Wana gari Kali sana
Ni kwa sababu wanajiweza kiuchumi na ndio maana engine mbavu kama 1fz,1gr,1hd,1vd...unazikuta kwenye LC70 tena mpya tofauti na sisi Tayota Tanzania tuna injini moja tu iliyo kwenye 70 series 1hz.
 
lc hapa ikipita amueni tusi la kunitukana.
 
iyo lc yenu ikivuka. hapa narudia mtafute tusi la kuniita
 

Attachments

  • VID-20240618-WA0001.mp4
    7 MB
Duuu!!! Kumbe hela zinatakiwa kutaftwa otherwise tutaishia kupanda bodaboda 🏃🏃
 
Mnyama wangu huyu bado Ana dunda,bingwa wa pori July lindi moja nkitoka huko wanangu wa chunya nakuja nkitokea lindi,
Huu moto usiufate,ukifata safari zangu utalala na kubaki huko

Ova
 

Attachments

  • 20240626_125835.jpg
    2.5 MB · Views: 8
Mnyama wangu huyu bado Ana dunda,bingwa wa pori July lindi moja nkitoka huko wanangu wa chunya nakuja nkitokea lindi,
Huu moto usiufate,ukifata safari zangu utalala na kubaki huko

Ova
ina kiatu matata sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…