Land cruiser Prado
Senior Member
- Apr 24, 2021
- 118
- 265
Kaka LC hio huwezi ipata Japan, Toyota Japan hawatengenezi hizo off road cars, hivyo option iliyopo ni SA tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aahahaaaa, nguvu ya engine isiyokuwa na msaada ya nini???? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Kwenye off road sawa ila sio nguvu ya injini 1hz haina nguvu na ukitaka ijaribu mlimani,suala la off road halihusiani na nguvu ya injini, suzuki jimny zinatamba off road si kwa sababu ya nguvu ya injini.
Hahaha! Mkuu wewe ni balozi mzuri wa J70Ahahaaa nimetumia gari zote, Ford, Nissan, Hilux zote O Km, ilichonacho cha ziada Ford ranger ni comfortability tu.
Field huko kuna magari yake bro.
Serikali inanunua LC, hizo ford haizioni au haizijui????
Taasisi ngapi za kiraia naona zimejazana kwenye LC hizo Ford haizioni???
ISIS, huko Middle East, fleet lao ni full LC na Hilux tena vitu mang'anyu. Hizo Ford hawazioni????
M23 huko Goma wanatumia vyuma vipi???
Mkuu huu ukweli mabalozi wa HZJ70 hawawezi kuukubali!!Kwenye off road sawa ila sio nguvu ya injini 1hz haina nguvu na ukitaka ijaribu mlimani,suala la off road halihusiani na nguvu ya injini, suzuki jimny zinatamba off road si kwa sababu ya nguvu ya injini.
Kisahani kuwa 200 kwa injini ya diesel yenye 3.2L unashangaa?ila hz yenye 4.2L kufika 160 mtihani na unaona kawaida?suala la ulaji mzuri wa mafuta ndio kipaumbele kwa sasa .Na ndio maana walitoa ranger ya 2.0L yenye hp 210 na wewe ukabaki na hz yako ya cc4200 ya hp 129 kisa tu ni ngumu!wajapan wameliona hilo wakaamua kuiwekea injini ya 2.8L yenye hp 201.Nitakacho ki miss ni ugumu tu wa hiyo injini na mlio wake.Aahahaaaa, nguvu ya engine isiyokuwa na msaada ya nini???? [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Pamoja na nguvu kubwa ya engine zote ubaoni ni 200km/h. Ukija kwenye acceleration kuna Ford ranger 3.2 liters mazito kweli kwenye kuchanganya
Wenzetu waliishamaliza hii league, tumebakia sisi wamatumbi...Kisahani kuwa 200 kwa injini ya diesel yenye 3.2L unashangaa?ila hz yenye 4.2L kufika 160 mtihani na unaona kawaida?suala la ulaji mzuri wa mafuta ndio kipaumbele kwa sasa .Na ndio maana walitoa ranger ya 2.0L yenye hp 210 na wewe ukabaki na hz yako ya cc4200 ya hp 129 kisa tu ni ngumu!wajapan wameliona hilo wakaamua kuiwekea injini ya 2.8L yenye hp 201.Nitakacho ki miss ni ugumu tu wa hiyo injini na mlio wake.
Chief unadefine power vipi katika upande wa engine? Nadhani inabidi ujeree vizuri power maana yake nini.Kisahani kuwa 200 kwa injini ya diesel yenye 3.2L unashangaa?ila hz yenye 4.2L kufika 160 mtihani na unaona kawaida?suala la ulaji mzuri wa mafuta ndio kipaumbele kwa sasa .Na ndio maana walitoa ranger ya 2.0L yenye hp 210 na wewe ukabaki na hz yako ya cc4200 ya hp 129 kisa tu ni ngumu!wajapan wameliona hilo wakaamua kuiwekea injini ya 2.8L yenye hp 201.Nitakacho ki miss ni ugumu tu wa hiyo injini na mlio wake.
Durability ford is better than Toyota? Ndugu yangu kuwa serious basi. Anyway, inategemeana na mtumiaji mwenyewe anavolitumia gari yake. Ila kwa upande wa Toyota uipeleke barabara ngumu kiasi gani, still bado itaonekana kuwa durable zaidi ukilinganisha na Fordcruiser kwenye maintenance ni cheap kuliko ford, interms of spare parts na mafundi ila kwenye durability ford ranger Hana mpinzani
Wakuu sina uzoefu sana na magari ila kuna hizi gari za land rover 110, japokuwa zimesitishwa kutengenezwa lakini nahisi ni gari ambalo liko akilini mwangu tokea zamani.
Mwenye ujuzi naomba anisaidie faida na hasara za kumiliki hili gari.
Je katika kupambana na mazingira magumu linaweza kushindana na magari kama land cruiser?.
Nimefuatilia sana kuhusu upatikanaji wake sasa hivi umekuwa adimu sana. Je kwa nchi kama south Africa linaweza kuwa adimu kama ilivyo kwa tz? Ahsante.
Hizi kaja na diesel engine au Ni petrol tuNissan kamfuata Toyota huko huko juu, baada ya Toyota kutoka na LC 300 series V6. Sasa Nissan patrol baada ya kutokufanya vizuri na gari lake Nissan Y63 V8 petrol engine. Sasa kahamua kurudi sokoni na Nissan Patrol V6 3.5 liter super charged kwa ajili ya kupambana na LC 300 series. Inawezekana akafanya vizuri kutokana na kuwa na bei rafiki sokoni zaidi ya mpinzani Toyota.
Naona Nissan kurudi kwenye soko la Tanzania hasa serikalini kama ilivyokuwa kipindi cha Kikwete.
⚠️Tutafute helaaaa, watu wanabadili magari kama simu.
View attachment 2779594
Hizi kaja na diesel engine au Ni petrol tu
Sasa hapo kuna kulinganisha kweli? Cruiser is more powerful and durable. Labda kama unacompare na hilux
Na za South Africa zina tembea zaidi kasi kuliko za Japan, South wanapenda mbio sana . Chukuwa LC utafaidi utendaji wake kikubwa jali matengenezo tu .🙏🙏🙏
Nimepachagua South Africa kwa sababu nataka nifike kuliona kabla ya kulilipia. Japan nahisi itakuwa gharama kubwa kuzidi South Africa. Hata wanafamilia wengi wa humu Jamii Forum wanaliafiki hilo, kwamba kuna unafuu endapo nitalichukulia South Africa.