Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Kuna fundi aliniambia kwamba petrol ni nyepesi na hivyo huhitajika kiasi kikubwa ili injini ipate nguvu ya mzunguko.
Ila diesel ni nzito kuliko petrol hivyo huhitajika kidogo ili kusukuma injini.
Na pia, mfano, trekta, kwenye tank la mafuta kuna pipe mbili: moja ya kupeleka mafuta kwenye filters then kwenye injini, halafu kuna pipe ambayo ni return yaani inatoa mafuta kwenye injini yanarudi kwenye tank tena.
Sasa nataka kujua, je, kati ya gari ya petrol yenye cc 2500 na ya diesel yenye cc 2500 ni ipi inakula mafuta sana?
Specifically, Lita moja ya diesel kwa injini ya cc2500 inaenda kilometers ngapi?