Gari ya Diesel hainywi mafuta mengi kama ya petrol.Changamoto ya gari za Diesel ni matengenezo hasa kama gari halitumiki sana.Kuna fundi aliniambia kwamba petrol ni nyepesi na hivyo huhitajika kiasi kikubwa ili injini ipate nguvu ya mzunguko.
Ila diesel ni nzito kuliko petrol hivyo huhitajika kidogo ili kusukuma injini.
Na pia, mfano, trekta, kwenye tank la mafuta kuna pipe mbili: moja ya kupeleka mafuta kwenye filters then kwenye injini, halafu kuna pipe ambayo ni return yaani inatoa mafuta kwenye injini yanarudi kwenye tank tena.
Sasa nataka kujua, je, kati ya gari ya petrol yenye cc 2500 na ya diesel yenye cc 2500 ni ipi inakula mafuta sana?
Specifically, Lita moja ya diesel kwa injini ya cc2500 inaenda kilometers ngapi?
Mkuu mafuta yakishachomwa hayarudi tena labda unieleweshe vizur hapo lakini usichanganye na hydrolicky
Kakupa kamba huyoLabda ni Mimi sijaelewa, ila trekta, kwenye tank lake la mafuta kuna pipe mbili: moja juu kabisa ya tank ambayo ni return pipe, na moja ipo chini kabisa ambayo inapeleka mafuta kwenye injini.
Na niliaambiwa yakichomwa yanarudi
Mnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19Gari za diesel zinatumia mafuta kidogo kuliko zinazotumia Petrol sema Magari yanayotumia Diesel service yake iko juu kuliko Petrol na yanahitaji uangalizi mkubwa hasa kwenye mafuta kwani ukiweka diesel iliyochakachuliwa unaua Engine, Gari ya diesel yenye cc 3000 inakwenda km 10 kwa lita 1 tofauti na Petrol inayokwenda km 6 kwa lita ndo maana gari za diesel mara nyingi bei yake iko juu
Hiyo pipe juu ya tank ni ya return inarudisha mafuta yaliyo zidi kwenye Nozzel na kwenye injection pump fuatilia uone pipe hiyo ilikoanziaSasa, sasa hiyo pipe ya juu ni ya nn?
Sio trekta tu,hata gari ya kawaida ya diesel iko hivyoLabda ni Mimi sijaelewa, ila trekta, kwenye tank lake la mafuta kuna pipe mbili: moja juu kabisa ya tank ambayo ni return pipe, na moja ipo chini kabisa ambayo inapeleka mafuta kwenye injini.
Na niliaambiwa yakichomwa yanarudi
Hii engine gani mkuu inayotoa perfomance nzuri hivyoMnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Gari ya petrol inatumia sana mafuta lakini ina speed nzuriii na inafika Top speed kwa harakaa... diesel inatumia mafuta less na inagain speed slow lakini ikigain speed aisee gari ya petrol inasubirii miaka 1000...
Brevis 1JZ huyo anakamua wese kama kichaaNdiyo na Mimi nimeshangaa.
Wakati Brevis ya cc 2500 tu inatoa watu jasho
Ujinga wa diesel inapenda sana kutiwa vidole na mafundi. Trip za kwenda garage kwa gari ya diesel ni za mara kwa mara!Gari ya petrol inatumia sana mafuta lakini ina speed nzuriii na inafika Top speed kwa harakaa... diesel inatumia mafuta less na inagain speed slow lakini ikigain speed aisee gari ya petrol inasubirii miaka 1000...
Huyo si ni inline 6! Muendelezo wake ni V6 4GR-FSE 250G ya kwenye Mark X na Crown! Hio iko more efficient.Kuna jamaa anasema hiyo ni ng'ombe, yaani inakunywa
Mnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Ni kweli kuna yanayorudi kwenye tank baada yanayohitajika kwenye Nozzle kichukuliwa..... Sio kamba!Kakupa kamba huyo
mkuu ni gari gani hiyo yenye performance hiyo uliyoisema??Mnazungumzia technologia za kizamani, siku hizi gari ya petrol CC4500 inatembea km 18 mpaka 19
Mkuu kwahiyo brevis n mark x ipi ina mbioHuyo si ni inline 6! Muendelezo wake ni V6 4GR-FSE 250G ya kwenye Mark X na Crown! Hio iko more efficient.