Labda ni Mimi sijaelewa, ila trekta, kwenye tank lake la mafuta kuna pipe mbili: moja juu kabisa ya tank ambayo ni return pipe, na moja ipo chini kabisa ambayo inapeleka mafuta kwenye injini.
Na niliaambiwa yakichomwa yanarudi
Sifikiri kama jamaa anajua anachoongea. 4500CC lita moja kwa kilomita 18!!!
Kwanza anatakiwa ajie kuwa hybrid haitumii ile engine yenye cylinders kusukuma gari. Ni motors tu zinazosukumwa na umeme. Kwaio huwezi kusema kuwa eti ina 4500cc na ni 1 ltr for 18km. Maana hybrid ikifanya kazi hizo CC hazina faida yoyote.
Ni very wrong kusema eti Tesla ni 2.0L. Maana itabidi tukuulize Litre of what if its not using petrol nor diesel nor air? Na ndio hivo hivo kusema hybrid car ina CC 4500, cc izo for what if what is moving the car has nothing to do with air and fuel?
Nimekuelewa mpaka hapo.Nadhani unachanganya vitu viwili hapa...kuna tofautu kati ya hybrid car na electric car...tesla ni electric car..gari ili liilwe hybrid maana yake lina mifumo miwili ya kulioa nguvu. Ambayo ni engine pamoja na motor ya umeme.
Kwenye speed chini ya 60km..inatumia umeme. Ukiexceed 60km engine inatake over kusukuma gari. Wakati engine inatake over, pia inazalisha umeme wa kucharge battery yake.
Hybrid cars hazina port ya kuchargia battery kama ilivyo kwa tesla.
Hapana...battery hawezi kuisha charge kwa sababu ya foleni. Maana engine ikiwa silence inauwezo wa kuzalisha umeme unaocharge battery ya kuendesha motor. Na kuna level ikifikia battery ikiwa low, inauwezo wa kuswitch itumie mfumo wa engine. Engine inauwezo wa kujiwasha au kujizima kutokana na level ya battery iliyopoNimekuelewa mpaka hapo.
swali.
Ukitembea umbali mrefu au kukawa na jam ya masaa ya kutosha kusababisa gari isiende zaidi ya speed 60,betry si itaisha chaji?
Ninakubaliana na wewe, maana nimeendesha trekta, ukianza namba moja ni ngurumo kubwa ila mwendo ni kama unatambaa, ukienda mbili inaamka kidogo, 3 inaanza kuwa nyepesi, nne inachanganya vizuri zaidi.
Diesel engines ni nzito
Mkuu unaijua vizuri gari inaitwa crown majesta? ina cc 4300 V8 INA gear 8, inatembea kilomita 19 kwa lita CVT
Boss huyu jamaa atakuingiza mkenge. HYBRID ni tech ya siku nyingi tu. Harrier zipo Hybrid,Toyota Prius ndio ilianza. Gari nyingi Sana zina Hybrid option hadi Range Rover wametoa Hybrid.
Kama shida yako ni Hybrid wala huna haja ya hilo Crown, hata Harrier Hybrid zipo kibao. Nikufahamishe tu ukiwa unasafiri mkoa litaanza kutumia petrol kwasababu mwendo wako utakuwa above 60kph na hio electric cell need to be charge na petrol engine
Sifikiri kama jamaa anajua anachoongea. 4500CC lita moja kwa kilomita 18!!!
Kwanza anatakiwa ajie kuwa hybrid haitumii ile engine yenye cylinders kusukuma gari. Ni motors tu zinazosukumwa na umeme. Kwaio huwezi kusema kuwa eti ina 4500cc na ni 1 ltr for 18km. Maana hybrid ikifanya kazi hizo CC hazina faida yoyote.
Ni very wrong kusema eti Tesla ni 2.0L. Maana itabidi tukuulize Litre of what if its not using petrol nor diesel nor air? Na ndio hivo hivo kusema hybrid car ina CC 4500, cc izo for what if what is moving the car has nothing to do with air and fuel?
Technology imekuwa sana japo huu mfumo umeanza kwenye scooter kitambo sana ...nashangaa hio belt ikoje had kusukuma gari ya tani hata mbil ...japo kibongo sijajua matengenezo ya hio ger boxPoint of correction...
CVT... continuous variable transmission.....haina gear zilizopangika 1,2,3,4 e.t.c
Cvt huwa inatumia belt ambayo huwa na uwezo wa kutanuka na kusinyaa upande wa input na output...ndiyo maana ukiendesha gari lenye cvt huwezi kusikia likibadilisha gear kama Ordinary Automati gear box
Driving experience ya CVT huwa very smooth..
Nenda you tube uone cvt inavyofanya kazi
View attachment 1084129View attachment 1084130
ni kununua sabufa ya elf 60 afu unataka iimbe kama ya laki na nusu range rover ya 2013 diesel 4.4L unajua perfomance yake?😁 200kph in less than 23 secDiesel kwa kweli inasumbua maana haina performance yani Diesel ukiwa unataka ku overtake inabidi ugain speed kwanza ila ikishavuka 70km/h ukikanyaga mafuta mzigo unaitika vizuri sana...
Hebu tueleweshe sasa mkuu ,ili nijue nimeongopa wapi?😀😀 Wacha uongo wewe tofautisha mpg na km/L
Hebu tueleweshe sasa mkuu ,ili nijue nimeongopa wapi?
Mzee unaongelea diesel engines za mwaka 47? Hizi za kisasa zenye 0-60 kwa 7.4 seconds, acceleration ni kugusa tu. Tena hii ni kwa SUVs.Diesel kwa kweli inasumbua maana haina performance yani Diesel ukiwa unataka ku overtake inabidi ugain speed kwanza ila ikishavuka 70km/h ukikanyaga mafuta mzigo unaitika vizuri sana...
Najua hilo, ila hapo nimezungumzia kwa ujumla kusema kuwa Hybrid car inatumia 1 litre kwa 18 km. Sio fair comparison kabisa na kudai gari ya 4500cc inafanya ivo. Hapo inabidi ufanye calculation ya Combustion engine inavokunywa mafuta as Combustion engine, usichanganye na electric motor yake kwa sababu electric motor haipimwi kwa CC.Nadhani unachanganya vitu viwili hapa...kuna tofautu kati ya hybrid car na electric car...tesla ni electric car..gari ili liilwe hybrid maana yake lina mifumo miwili ya kulioa nguvu. Ambayo ni engine pamoja na motor ya umeme.
Kwenye speed chini ya 60km..inatumia umeme. Ukiexceed 60km engine inatake over kusukuma gari. Wakati engine inatake over, pia inazalisha umeme wa kucharge battery yake.
Hybrid cars hazina port ya kuchargia battery kama ilivyo kwa tesla.
Naelewa vyema gari ya hybrid inavofanya kazi.Nadhan kabla ya kupost unatakiwa uwe na elimu ya unachochangia
Gari ya hybrid kuna saa inatumia motor tu kuna saa inatumia engine ya mafuta tu na kuna saa zinatumika zote
Eg ukawa una overtake uko heavy foot gari liki sense unahitaj power nyingi basi ule mfumo directly utaruhusu umeme from battery uende kwa motor kisha kuna kipande ambacho kinaunganisha mizunguko ya motor na engine kabla ya matairi utapokea sasa nguvu ya motor plus engine ...
Mm nina Nissan Pickup engine model TD25 ya 1988 imenunuliwa 1992 imepaki mwaka 1996 ina mileage 153000 ila nmetafuta mafundi wakafanya overhall ikawaka na sasa natumia kwa shughuli zangu za kilimo....fuel consumption ni 20km per litre kwa utafiti nliofanya wiki hii...kwa uelewa wangu gari za diesel ni ghali kununua, spare ni ghali, ila durability ya engine ni kubwa sana afu pia zina nguvu sana maan mm sikuamini kama gari imekaa miaka 23 bila kuendeshwa iLa sahv inatembea vzuri sana bila tatizo.
Bado naendelea kufanya research kujua tofauti ya disesel.n petrol engines hasa kwenye bei, repairs, consumption ya fuel and durability
Sent using Jamii Forums mobile app