Kati ya Harmonize, Alikiba na Diamond yupi mwenye kifua kizuri

Ila mna hakika hii ni account ya mpwayu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


NB: Aacha kumfananisha Kiba na vitu vya ajabu!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeajibana weeeeeeee sasa umeamua kujionesha wazi wazi.

Watu kama nyie inatakiwa kumsaidia Mungu kuwakutanisha nae. Ni kweli hukumu anatoa Mungu ila ni jukumu letu kuwakutanisha na Mungu alafu yeye atatoa hukumu au ataamua kukusamehe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna mnashindwa, wanashinda case huko mahakamani kila siku.

Uache kuteseka na mambo yako, unahangaika na ya mwenzio, inahuuu??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had mbavu zinaumaa, sio kwa hizi Comments.

Wameambiwa wanawake wajibu, cha ajabu wanao comment ni wanaumee.

Woiiiiiiih
 
Wew Jamaa sio bure haujatimia sawasawa Una mapungufu,

Hv unajiskiaje kusifia na kujadili vifua vya wanaume wenzio ht km Una tumia ID fake jamii forum isiwe sabab
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka had mbavu zinaumaa, sio kwa hizi Comments.

Wameambiwa wanawake wajibu, cha ajabu wanao comment ni wanaumee.

Woiiiiiiih
Tupo kwenye mlima mrefu kuuvuka upumbavu dear, yani mijitu migumu sana kuelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…