Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hussein Mwinyi, Kaasim Majaliwa, Januari Makamba na Samia Suluhu siyo Waislamu??Ni zamu ya Waislamu!
Mwigulu ana makundi mkuu hasa wafanya biashara.2025 ni kati ya
1- Mr Madelu( Mwigulu)
2- Mkumbo
3-Doroth
Hawa watatu wana nafasi kubwa!!
Kumbuka Magufuli hataki watu wenye makundi!!
Sasa wanamuogopa Mwenyekiti eevita ni vita muraaaaa, 2025 hutoona mambo sanaa, subiri 2030 ama 2035
pembe la ng'ombe halifichikiii
Sina uzoefu wowote katika siasaAnaweza ? Hata wewe unaweza..., I assume wewe ni mtanzania mwenye akili timamu na raia mwema.....
Tena aliye turoga yupo BurundiKweli tumelogwa,
Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada.
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais
aliyeko madarakani.
Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa ndugu zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
Mwigulu aliimudu sana wizara ya utekaji nyaraMwigulu Nchemba???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna hata wizara moja aliyoimudu acha mzaha wa ovyo
Why Hussein Mwinyi kwa 80%?Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada.
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais
aliyeko madarakani.
Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa ndugu zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
waislamu tunasubiri mjikwae tu mumuweke MGALATIA mwengine halafu muone kitachojiri.. kwenye hili hakuna ukadaKwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada.
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais
aliyeko madarakani.
Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa ndugu zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
Hawaangalii undugu mkuu, kikubwa ni uwezo wa mtu. Hata Marekani Bush na mwanaye waliwahi kushika nafasi hiyo kwa nyakati tofauti.Why Hussein Mwinyi kwa 80%?
Kama itatokea hivo basi Watz tumerogwa na aliyeturoga keshakufa kitambo!
Yaani huyu Hussein Mwinyi ambaye kwa sasa ni Rais wa Zanzibar wa Awamu ya 8 kwa miaka 10 amalize 10 ya Zanzibar aje tena 10 ya Tanzania Bara???
Hii nchi imekuwa ya Masultani kurithishana madaraka??? Mzee Alli Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa miaka 10! Mnataka mwanaye atawale tena Bara &Visiwani for 20 years consecutively???
Hivi Tanzania Bara hakuna watu wenye sifa za kuwa Marais au mtu mwingine yeyote Visiwani ?? Kwangu mimi Hussein Mwinyi nasema HAPANA kwa her Ufisadi kubwa.
Suala sio dini, yeyote mwenye uwezo bila kuangalia dini, kabila wala rangi anaweza kupata.waislamu tunasubiri mjikwae tu mumuweke MGALATIA mwengine halafu muone kitachojiri.. kwenye hili hakuna ukada
Nafasi ya muislamu kwa mujibu wa ilivyozoeleka2025 ni kati ya
1- Mr Madelu( Mwigulu)
2- Mkumbo
3-Doroth
Hawa watatu wana nafasi kubwa!!
Kumbuka Magufuli hataki watu wenye makundi!!
Wote hao ni hovyo.Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa ndugu zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
Ya Mungu mengi nae upangavita ni vita muraaaaa, 2025 hutoona mambo sanaa, subiri 2030 ama 2035
pembe la ng'ombe halifichikiii
Bila kupinga huu utabiri wako, ila nijuavyo uchaguzi ujao utakuwa na wapiga kura wachache sana baada ya wananchi kupuuza box la kura. Tutakuwa na rais aliyepo kisheria, lakini asiye na uhalali na umma.Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.