Katika nchi yeyote duniani inayo tegemea mfumo kiutendaji kama inner state yake, kiutendaji wanazingatia nyakati na siku zote
Mda uongea na kwenye siasa kila tukio halitokei kwa bahati mbaya bali huwa limepangwa.
Leo siasa ya Tanzania ina tension kubwa sana hususani atakae rithi mikoba ya MAGUFULI baada 2025 lakini tiali utendaji wa MAGUFULI unawafanya watu wawe na maswali kuhusu kung'atuka madarakani kwa mjibu wa katiba, ingawaje maswali haya yanakuja baada ya PROPAGANDA kuhusu Raisi kusalia madarakani baada ya mda wake kuisha
Sasa hili la kusalia madarakani linawakuna watu wengi na wale walio na nia ya kugombea macho yao kuyaelekeza kwa MAGUFULI
Katika nchi ya kidemocrasia hili linawafanya WATU kutumia nguvu kubwa kumshambulia MAGUFULI nawakati mda unasonga lakini nyuma ya pazia tiali mfumo unafanya kazi yake usiku na mchana kuakikisha mtu wao anakuwa safi, wakati wanakuja kusituka kuwa sio MAGUFULI tena tiali mda usha waacha.
Kilicho fanyika mwaka 2020 katika uchaguzi ni matokeo ya maandalizi ya uchaguzi wa 2025, kivip,
Hussein Mwinyi kuchaguliwa kuwa raisi wa Zanzibar ni kwenda ku prove wrong perception ya wazanzibari kwake kuwa hafai kuwa Raisi wa Zanzibar lakini baada ya kuapishwa hadi leo mambo yamekuwa tofauti wazanzibari wamekuwa kitu kimoja na wana furahia uongozi wake ukitaka kuteka mioyo ya watu fanya aina ya siasa itakayo wafanya watu wa smile, ndicho Mwinyi anakifanya Zanzibar
Ndio maana muunganiko wa seif ulikuwa muhimu sana.
Hivyo kadili ya mda unavyo enda Mwinyi atatatua changamoto mbali mbali za wazanzibari na kuiteka mioyo yao na kwa upande wa bara tutatamani raisi kama mwinyi itafikia hatua tunawatamani wazanzibari kwa sababu ya utawala wa Mwinyi
Shabaha nyingine ni kumuandaa makamu wapili wa raisi wa Zanzibar Mh. Hameid Suleiman Abdallah
Kujakuwa raisi wa Zanzibar baada ya Mwinyi kwani kinacho fanyika kwa sasa ni kulejesha matumaini ya watu wa pemba kwenye serikali ambao huu ndio mkakati mkubwa kwa serikali ya Zanzibar
Mwisho.
Raisi ajae 2025
Rais, Hussein Mwinyi - JMT
Rais, Hameid S Abdallah/prof mbalawa - zanzibar