Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa badala aseme Dk Bashiru Ally, yeye anatuletea list ya ajabuajabuNi zamu ya Waislamu!
Magufuli kawa Waziri toka awamu ya tatu, mpaka anakuwa Rais alikuwa na uzoefu wa miaka 20 kwenye baraza la mawaziriHao unaosema hawana, uzoefu. ndio watapewa nchi! kwani kwa Magufuli ilikuwaaje?? Nani alitarajia!!??
Kwa CCM makatibu wakuu wa chama wa awamu husika huwa hawagombei kwenye awamu inayofuataHuyu jamaa badala aseme Dk Bashiru Ally, yeye anatuletea list ya ajabuajabu
Nini kinakufanya uamini hivyo?JPM atafia madarakani,swala la rais mpya 2025 sahau kabisa.Alama za nyakati ziko ukutani.
Ikifika 2023/2024 katiba inaenda kurekebishwa na kuondoa ukomo wa muda wa uraisi.

Toa wakristo hao, ajaye ni muislamuKwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa kubwa zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
ungekuwa huna chama ungetaja ndugu zako bas..😎Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa kubwa zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
Huna hoja!Hawaangalii undugu mkuu, kikubwa ni uwezo wa mtu. Hata Marekani Bush na mwanaye waliwahi kushika nafasi hiyo kwa nyakati tofauti.
Pia ikitokea basi Mwinyi atakuwa ametawala miaka 5 Zanzibar na si 10 kama ulivyosema.
Jaffo au Ummy Mwalimu..
Kama ni kwa siri mbona tumejua ?Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa kubwa zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
Hao wawili wa kwanza wote wape 50% kwa 50%. Hussein Mwinyi itategemea kama atakuwa tayari amepata mrithi wa kuaminika SMZ. Kama atakuwa bado basi ataendelea kwa miaka mingine mitano huku akiwa nafanya grooming ya mtu sahihi. Ikitokea hivyo hapo sasa Majaliwa itakuwa ni 100%. Zaidi ni kuwa Majaliwa ni mkali kuliko Hussein Mwinyi, na possibly kuliko hata JPM. Mwangalie vizuri. Kwa muda huu, nchi zetu zinahitaji marais wakali tu na si vinginevyoKwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.
Turudi kwenye mada
Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.
Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:
1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.
2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.
Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015
2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.
3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.
4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.
5. Orodha itakuwa kubwa zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa
Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.
- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.
- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.
* Nawatakieni majukumu mena.
3. Dorothy????2025 ni kati ya
1- Mr Madelu( Mwigulu)
2- Mkumbo
3-Doroth
Hawa watatu wana nafasi kubwa!!
Kumbuka Magufuli hataki watu wenye makundi!