Kati ya hawa mmojawapo anaweza kuwa Rais 2025

vita ni vita muraaaaa, 2025 hutoona mambo sanaa, subiri 2030 ama 2035

pembe la ng'ombe halifichikiii
 
2025 ni kati ya
1- Mr Madelu( Mwigulu)
2- Mkumbo
3-Doroth
Hawa watatu wana nafasi kubwa!!
Kumbuka Magufuli hataki watu wenye makundi!!
Mwigulu ana makundi mkuu hasa wafanya biashara.
Mkumbo na Doroth hawana uzoefu wa kutosha km ilivyo kwa Mwinyi.
 

Paskali amesemaje?

Cc: Paschal Mayalla
 
Why Hussein Mwinyi kwa 80%?
Kama itatokea hivo basi Watz tumerogwa na aliyeturoga keshakufa kitambo!
Yaani huyu Hussein Mwinyi ambaye kwa sasa ni Rais wa Zanzibar wa Awamu ya 8 kwa miaka 10 amalize 10 ya Zanzibar aje tena 10 ya Tanzania Bara???

Hii nchi imekuwa ya Masultani kurithishana madaraka??? Mzee Alli Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa miaka 10! Mnataka mwanaye atawale tena Bara &Visiwani for 20 years consecutively???

Hivi Tanzania Bara hakuna watu wenye sifa za kuwa Marais au mtu mwingine yeyote Visiwani ?? Kwangu mimi Hussein Mwinyi nasema HAPANA kwa her Ufisadi kubwa.
 
waislamu tunasubiri mjikwae tu mumuweke MGALATIA mwengine halafu muone kitachojiri.. kwenye hili hakuna ukada
 
Hawaangalii undugu mkuu, kikubwa ni uwezo wa mtu. Hata Marekani Bush na mwanaye waliwahi kushika nafasi hiyo kwa nyakati tofauti.
Pia ikitokea basi Mwinyi atakuwa ametawala miaka 5 Zanzibar na si 10 kama ulivyosema.
 
Mwigulu ni dikteta afai 2025,ni zamu ya muislamu Mwinyi au Majaliwa Hawa Wana hekima na busara,utu, uvumilivu.Makamba,Jafo hazina ya baadae.Membe kwisha habari yake, bashite ni mfungwa mtarajiwa.
 
Wote hao ni hovyo.
 
Bila kupinga huu utabiri wako, ila nijuavyo uchaguzi ujao utakuwa na wapiga kura wachache sana baada ya wananchi kupuuza box la kura. Tutakuwa na rais aliyepo kisheria, lakini asiye na uhalali na umma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…