Kati ya hawa mmojawapo anaweza kuwa Rais 2025

Why Hussein Mwinyi kwa 80%?
Kama itatokea hivo basi Watz tumerogwa na aliyeturoga keshakufa kitambo!
Yaani huyu Hussein Mwinyi ambaye kwa sasa ni Rais wa Zanzibar wa Awamu ya 8 kwa miaka 10 amalize 10 ya Zanzibar aje tena 10 ya Tanzania Bara???

Hii nchi imekuwa ya Masultani kurithishana madaraka??? Mzee Alli Hassan Mwinyi aliwahi kuwa Rais wa Tanzania Bara kwa miaka 10! Mnataka mwanaye atawale tena Bara &Visiwani for 20 years consecutively???

Hivi Tanzania Bara hakuna watu wenye sifa za kuwa Marais au mtu mwingine yeyote Visiwani ?? Kwangu mimi Hussein Mwinyi nasema HAPANA kwa her Ufisadi kubwa.
Sasa ukiambiwa uchague Jamaa aendelee au mletewe Hussein wa Zenji wewe utachagua nini?.
 
Ni zamu ya Waislamu!
Mimi ni mkatoliki lakini natamani tupate rais ajaye awe mwislamu. Hapo tutakuwa na balance nzuri ya kupokezana vijiti kwa Amani. Ni kweli kwenye katiba haipo kupokezana kidini , lakini nafsi kila MTU inamtuma iwe hivyo kwa mstakabali mwema Wa taifa letu tukufu pendwa kiamani. Nawaomba mababa askofu muislamu ajaye akirundika waislamu watupu watulie sindano iingize dawa vizuri miili yetu wakristu. Wasianze kutoa waraka kama enzi za Kikwete labda yajitokeze makundi ya itikadi Kali kama kipindi mile mapadre wanauawa ovho , pale JK alitukosea. Huyu hajadhuru mkristo wala muislamu ,yeye maradhi yake usimpinge. Wakristo zamu yao 2035 tutulie. Mwinyi is my best choice ingaw anatumbua, haidhuru ana roho ya hata ya kutukumbusha kuwa aliye mwadilifu hataguswa. Wengine kufoka tu kama wao Mungu hawana makosa. Majaliwa is my send choice. Jaffo no 3 kwenye preference. Nje ya hao sijui ingawa siasa miaka 4 mingi mno humu katikati kete zinaweza kubadilika . mama Tanzania kwanza.
 
Jafo gani tena jamani,??? Yaani akili za jafo ndo awe rais wa nchi??? Hebu mtupumzishe bwana, mtu ambae hawezi kusimamia anachokiamini hafai kuongoza hata familia
Mkuu, nimekuja pm. lakini nimeshindwa kukupata!! nn shida?
 
Hawaangalii undugu mkuu, kikubwa ni uwezo wa mtu. Hata Marekani Bush na mwanaye waliwahi kushika nafasi hiyo kwa nyakati tofauti.
Pia ikitokea basi Mwinyi atakuwa ametawala miaka 5 Zanzibar na si 10 kama ulivyosema.
Pia Mwinyi alitawala mwaka 5 sio kumi .
 
Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.

Turudi kwenye mada

Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.

Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:

1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.

2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.

Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015

2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.

3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.

4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.

5. Orodha itakuwa kubwa zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa

Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.

- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.

- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.

* Nawatakieni majukumu mena.

Ramli chonganishi hazijawahu kuwacha mtu salama popote duaniani.

Kutwa kucha mnawaza mtu wa kumrithi Urais Dk. JP Magufuli baada ya kipindi kuisha mwaka 2025

Mtu mtakayeamua kumpigia debe kuanzia sasa na kwa kuzingatia changamoto ulizozitajwa kwamba pamoja na kuwa kuna baadhi ya viongozi unawapa nafasi kubwa kuchukua nafasi hiyo lakini hujatoa tahadhari maana umkiri wapo wengine wanatamani kuwa wao.

Nakuhakikishia mtu yeyote utakayefanikiwa kumwinua na kuungwa mkono na wengi hawezi kumaliza mwaka 2024 kitazuka kikwazo ambach huwezi kuamini macho yako ama tukio lolote kutokea kubadilisha mstakabali mzima wa matamanio yako.

Mwisho, hakuna anayemfahamu mrithi wa Dk JP Magufuli zaidi ya Mungu tu maana hapo katikati lolote laweza kutokea kinyume na matashi ya watu.

NB: The head of state is not elected by the people, but the requirements of the time that impact the peoples decision and will.
 
Kwanini Daud Albert Bashite aka Paulo Christian Makonda umem-down grade namna hiyo?

1. Polepole una mwonaje?
2. Jokate?
3. Lukuvi?
4. Jaffo?
5. Kabudi?
6. Tulia?
7. Bashiru?
 
Kumi tena
Screenshot_20200919-140421.jpg
 
Tutaendelea kuongozwa na idiots mpaka lini?
 
Simpigii debe mtu ila mtazamo wangu tu kwa sasa.

Hata hivyo umeandika vizuri, lolote laweza kutokea
 
Tz inawatu makini, raisi ajae huwezi mtabiri, na hii ni sehemu ya mipango ya kuilinda nchi yetu dhidi ya hila za mabeberu--waasia inclusive. Natamani ajaye awe mkali mara mbili ya JPM.

TISS kazi kwenu.
 
Mimi ni mkatoliki lakini natamani tupate rais ajaye awe mwislamu. Hapo tutakuwa na balance nzuri ya kupokezana vijiti kwa Amani. Ni kweli kwenye katiba haipo kupokezana kidini , lakini nafsi kila MTU inamtuma iwe hivyo kwa mstakabali mwema Wa taifa letu tukufu pendwa kiamani. Nawaomba mababa askofu muislamu ajaye akirundika waislamu watupu watulie sindano iingize dawa vizuri miili yetu wakristu. Wasianze kutoa waraka kama enzi za Kikwete labda yajitokeze makundi ya itikadi Kali kama kipindi mile mapadre wanauawa ovho , pale JK alitukosea. Huyu hajadhuru mkristo wala muislamu ,yeye maradhi yake usimpinge. Wakristo zamu yao 2035 tutulie. Mwinyi is my best choice ingaw anatumbua, haidhuru ana roho ya hata ya kutukumbusha kuwa aliye mwadilifu hataguswa. Wengine kufoka tu kama wao Mungu hawana makosa. Majaliwa is my send choice. Jaffo no 3 kwenye preference. Nje ya hao sijui ingawa siasa miaka 4 mingi mno humu katikati kete zinaweza kubadilika . mama Tanzania kwanza.
Nimekuelewa
 
Tz inawatu makini, raisi ajae huwezi mtabiri, na hii ni sehemu ya mipango ya kuilinda nchi yetu dhidi ya hila za mabeberu--waasia inclusive. Natamani ajaye awe mkali mara mbili ya JPM.

TISS kazi kwenu.
JK alitegemewa tangu 1995.
 
Unaonaje ukisubiri tukio la kurekebisha katiba litimie halafu utakuja kuniuliza hilo swali lako.na nitakupa jibu.na ni mambo gani yako ukutani kwa Sasa kuashiria hataondoka madarakani.
Tukio la kurekebisha katiba lipo kweli? Una uhakika gani?
 
Kwanini Daud Albert Bashite aka Paulo Christian Makonda umem-down grade namna hiyo?

1. Polepole una mwonaje?
2. Jokate?
3. Lukuvi?
4. Jaffo?
5. Kabudi?
6. Tulia?
7. Bashiru?
DAB hana ushawishi kisiasa na wakubwa wengi hawamtaki,

Lukuvi ashapigwa mkwara,

Bashiru ni katibu hivyo yeye ni msimamizi shughuli zote zikiwemo za kumpitisha mgombea wao wa urais,

Tulia, Jaffo, Kabudi na Jokati hawana ushawishi mkubwa kisiasa kama ilivyo kwa DAB.
 
Kwanza poleni na majukumu, pia poleni na misiba ya wazee wetu, misiba ambayo inahisiwa ama kuhusishwa moja kwa moja na Covid19. Ama hakika ugonjwa huu upo hivyo tuendelee kuchukua tahadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu wa afya.

Turudi kwenye mada

Inasemekana sasa hivi kambi mbalimbali tayari ziko kazini kuhakikisha hazifanyi kosa na mtu wao anapenya na kuwa rais wa awamu ya sita. Harakati hizi zinaendeshwa kwa usiri sana ili kuhakikisha mkubwa hastuki hasa ukizingatia kwamba jamaa hataki makundi kwani anaamini kuwa kwa namna moja ama nyingine yataharibu utendaji kazi wa serikali.

Watu wenyewe naowapa karata yangu ni hawa:

1. Hussein Mwinyi
Sababu;
a) Hana makundi
b) Anafanya kazi zake kwa umakini mkubwa toka akiwa waziri wa ulinzi mpaka sasa ambapo ni rais wa Zanzibar
c) Ana uhusiano mzuri marais wote wastaafu walio hai na pia zinaiva na rais aliyeko madarakani. Huyu nampa asilimia 80 za kutoboa.

2. Kassim Majaliwa
Sababu;
a) Anaendana kihulka na rais aliyeko madarakani
b) Anajitahidi kufanya kazi kwa bidii na hilo limetokea kuwavutia baadhi ya Watanzania.
Huyu nampa asilimia 20 za kutoboa na anaweza kutoboa iwapo tu Mwinyi ataharibu hapo katikati.

Hata hivyo kinyang'anyiro hicho kitanogeshwa na watu wafuatao;
1. Mwigulu Nchemba
Huyu anautamani sana urais toka 2015

2. January Makamba
Huyu toka aambiwe na marehemu Ruge kuwa anastahili kuwa rais basi muda wote anakiwaza cheo hicho na anafanya kila kinachowezekana kukipata cheo hicho.

3. Samia Suluhu
Huyu anaweza kuingia ili kujaribu bahati yake huku akitegemea sapoti kubwa kutoka kwa akina mama.

4. Bernard Membe
Huyu hisia zangu zinanituma kuwa aturudi kundini (CCM) kisha atajitosa kwenye ulingo.

5. Orodha itakuwa kubwa zaidi, si ajabu hata akina Makonda wakajitosa

Mwisho:
- Upinzani sijauweka kwasababu kwa hali ilivyo sidhani kama unaweza kutoboa.

- Lolote linaweza kutokea, anaweza kuja mtu asiyetarajiwa kabisa.

- Haya ni mawazo yangu binafsi, mi ni mfuatiliaji wa siasa zetu japo sina chama.

* Nawatakieni majukumu mena.
No.6 palamaganda kabudi
No.7 polepole
No.8 lusinde
No.9 DK gwajima
No.10 jokate ndunguru
 
Hongera samia

Back
Top Bottom