Kati ya hawa nani anafaa?

Kati ya hawa nani anafaa?

Kuolewa na hawa wafuatao,
A. Muarabu
B.Mzungu
C.Mchina
D. Mkongo
E. Muhindi
F. Mkenya
G. Mmalawi
H. Uganda

Kwa uzoefu wenu yupo ni tiki?? Atakuwa mvumilivu, muelewa , anajali, anatunza , anatambua familia yake .

Yote uliyotaja hayaendani/hayategemei na asili zao, bali hutegemea na mhusika binafsi na makuzi yake vs personality yake. Pia hakuna perfect husband vs wife.

MUHIMU:

1: Ungana na yule mwenye mazuri yake na makandokando utakayoweza kuyapokea.

2: Ungana na yule ambaye mazuri yako na makandokando yako ataweza kuyapokea.

3: Pamoja na yote, wote muwe tayari kujifunza kati yenu na kupata uwanja sawa ndani ya maisha yenu/ common ground.

All the best.
 
Back
Top Bottom