Kati ya hawa nani anafaa?

Kati ya hawa nani anafaa?

Hakuna mtz ??
ila mdada unaonekana uko desparate sana kiasi kwamba unaishi kwa imagination et bwana mchina khaaa!!!!...
Eh alikuja kujenga ghorofa la serikali 2015 alikuwa msimamizi so tulipendana tukapotezana mawasiliano so mwanzo wa mwezi huu nikamwona tena facebook ila bado hajaoa
 
Sijawaha na wote jamani ni watatu hao wengine nimeweka if nikisema yes . 1. Mmalawi , Mkenya , MChina basi wengine wanasema yao tu nanimeelewa niko njia panda
 
Back
Top Bottom