Kati ya hawa nani anafaa?

Kati ya hawa nani anafaa?

Kwani wote hao wamekutongoza uchumba? Au wewe ndio umepanga kumtokea mmojawapo ukishapata ushauri
Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana
 
Kuna haw watatu ndio nimewapata ila hao wengine nimeongeza ili nione wazo lenu nani atashinda kindaki ndaki ila kwa ushauri mzuri niliupata jana
Katika wote hao;
..nani mtamu kuliko wote?
..nani anakuhonga kuliko wote?
..nani anakupenda kuliko wote?
 
Katika wote hao;
..nani mtamu kuliko wote?
..nani anakuhonga kuliko wote?
..nani anakupenda kuliko wote?
Swali wewe umekula chumvi nyingi wanawake hukubali kuolewa na wanaume zao wamependa nini??
 
Maada inauliza kuolewa sa wanaume si tutulie jamani sasa mnajibu tena mtu anasema kabisa eti mzungu ndio kaishia hapo sisi wasomaji tueleweje 😅
 
Mwanaume anayefaa ni yule anayeweza kupamp nyapu mpaka itoe moshi na tumbo la mwanamke livimbe na akubali kuwajibika kwa matunda ya kazi yake basi
 
Back
Top Bottom