Kati ya hawa wote ni Rais Kaunda tu ambae bado yuko hai

Ni kweli Nyerere kuamua siasa za ujamaa kuliwakera wazungu. Lakini kwanini sisi vijana tusisimame na kupinga kauli ya wazungu?
NI KWELI BIRA NYRRERE HAKUNA MANDELA.KUNA TUZO YA MAHTIMA GANDHI MANDELA ALITUNUKIWA NCHINI INDIA,ALIIKATAA.AKASEMA HESHIMA HIYO ANASTAHILI NYERERE.
 
Hiyo ndio kufaill yenyewe.
Ukiingia kwenye Vita bila kuwa na sababu kama nchi utaishia kupata hasara.
Afrika Kusini walosaidiwa Leo wanawaua waafrika wenzao Hadharani.
Zimbabwe leo imekua ni nchi maskini ya kitupwa.

Viongozi wa Afrika walikurupuka Kwa sababu waliishi na wazungu,wakasomeshwa na wazungu, wakaonja raha za wazungu na wakatamani viti walivyokalia wakoloni, badala ya Kutamani maendeleo ya wananchi.


Ndio maana waliendelea kutumia sheria na katiba za wakoloni kuwatawala waafrika wenzao kikatili kuliko Wazungu. Kabla ya Kile kilichoitwa Uhuru kule Uganda hapakua na Maiti zinazoelea baharini Kwa kuuawa na vyombo vya Dola.

Baada ya Uhuru Kila mmoja alijali madaraka yake kwanza.
Kwame Nkrumah alipotaka Nchi za Afrika ziungane alipingwa na waroho wa madaraka ambao walitumiwa na Mabeberu Kwa maslahi ya Wachina ,Warusi,na Wamagharibi bila kuangalia Maslahi ya Waafrika.

Baada ya Uhuru hapajawahi kuwa na mijadala ya pamoja ya wananchi inayofanyika kwa Amani ,umoja na Kwa Uhuru kujadili mustakabali wa Nchi zao zaidi ya kuburuzwa na Watawala Kwa sheria kandamizi.

Watawala waliwatisha watu na kuifanya jamii ya Kiafrika ione siasa Afrika ni kazi ya hatari sana inayohitaji watu wakatili, wasiojali,waongo,washirikina ,walaghai,Wabinafsi,wanafiki n.k wakati huo huo watawala wakiwa wanaogopwa kuliko Mungu.
Hofu ya waafrika iliyojengwa na watawala baada ya Uhuru ilififisha uwezo wa kimaarifa na ubunifu.
Wanafunzi waliwaogopa walimu kuliko hata polisi, unategemea kuwa na taifa lenye wasomi huru kweli!!
 
Sababu kubwa ya kaunda kuwa hai mpaka Leo yule mzee haragi nyama aina yoyote na chakula chake chote kinalimwa kwenye mshamba yake maalum na hawapigi dawa za viatirifu wala hawataki mbolea ya viwandani ni green house nzuri sana
 
walikufanyia wema gani mpaka useme ni watu wa watu. au na wewe unajifanya muhimili wa degree 4??
 
walikufanyia wema gani mpaka useme ni watu wa watu. au na wewe unajifanya muhimili wa degree 4??
 
walikufanyia wema gani mpaka useme ni watu wa watu. au na wewe unajifanya muhimili wa degree 4??
 
Kujiingiza kwenye vitandio iliosababisha sisituwe masikini mpka leo
 
kila kizaz kina jukumu lake,jifikirie ww kwanza utaacha mark gani katika taswira ya nchi yako fukara.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli Nyerere kuamua siasa za ujamaa kuliwakera wazungu. Lakini kwanini sisi vijana tusisimame na kupinga kauli ya wazungu?

Na ndio maana wakaamua kumsukumiza kwenye vita ya Uganda na kutufanya tumuone Amin ni adui mkubwa badala ya wao wazungu
Hawa wazungu wakitaka upite njia wanayotaka wao halafu ukabadili muelekeo lazima waweke miba ikuchome tu
Na hii vita ndio ikabadili muelekeo wa Nyerere na kusahau aliyokuwa amedhmiria kufanya na badala yake tukarudi nyuma sana kiuchumi


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…