Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazungumzia mafanikio ama utajiri?Kwahio mkuu hawa watoto wetu tukae nao na tuwape hizo option mbili na matokeo yake wachague waende wapi, kuliko kuwapa matumain hewa kwamba watafanikiwa sana kiuchumi na kipesa maishan tena hapa tanzania kwa kupata high class chuo kikuu
Mazingira na maisha ya kitanzania kwa nchi ya tanzania kwenye nyanja ya uchumi, elimu, na biashara ndivyo vinaongelewa hapa,Yaani unatumia smartphone halafu unauliza
"Kwa sasa Elimu Muhimu ni Kujua kusoma na kuandika?"
Hapana, Dunia bado inahitaji watu ambao watasoma na watajua vitu zaidi ya kusoma na kuandika.
Dunia bado inahitaji wataalamu wa nyanja mbalimbali.
Ili hao unawaona wamefanikiwa waweze kuonekana kwenye runinga au smartphone yako.
Kuna wataalamu nyuma wamefanikisha hilo.
Tukutane 2035 mkuu na hawa waliotajwa uwaangalie, then ulinganishe na aliyeenda shule kwa maana ya shule. Don't be myopic!Class ni wastage of time kwa kulingana na mada hii husika
Kwa sasa chukulia makundi haya mawili, kundi la kwanza ukiwaweka watu wa aina ya kitenge, mwijaku, baba levo na mwanasiasa mmoja, na kundi la pili ukawawweka wasomi wenye digirii na ambao hawajibia mitihani au kununua vyeti watatu tena wenye HIGH CLASS za vyuo vikuu nchini.
Je kundi gani kati ya hayo mawili kwa sasa yana pesa, yanakula maisha ya kitajiri na ya kifahari? Kundi ambalo linaweza kununua gari kwa cash milioni 500 kama tano, au kujenga nyumba ya Bilioni 1..
Je kwa sasa elimu muhimu ni wewe kujua kusoma na kuandika tu?
Je "connection" ndio kila kitu?
Lets see..Tukutane 2035 mkuu na hawa waliotajwa uwaangalie, then ulinganishe na aliyeenda shule kwa maana ya shule. Don't be myopic!
Naona umegusia eneo lenye confounders kubwa kwa matajili aliowataja. Yeye mtoa mada kagusia uchawa etc, lakini kasahahu eneo kubwa linalowawezesha hawa aliowataja. Fuatilia habari zao nyuma ya kapeti ndipo utajua utajiri wao sio wa kawaida, sio utajili huru wa msomi unayemtaja kwenye habari. Ukijua ulimwengu wa giza ulivyotamalaki hasa kwa vijana hawa wachakalikaji kwani ndio target ya haya makanisa/madhabahu ya kishetani.Aigle Mleta mada, naomba nije Chemba tutete kuhusu waganga na utajiri
Kaka mkubwa hauoni kama hayo ni maneno ya kutufariji tu na hayana ukweli wowote?Mimi najua tu class is permanent, form is temporary!!
Ila mkuu ndio watumie vilaza sasa😭😭Umuhimu wa elimu utaendelea kuwepo mpaka mwisho wa Dunia,
Hayo magari wanayoyanunua na hizo Nyumba wanazojenga,ni matokeo ya watu wenye elimu,nyumba haijengwi kienyeji wala tech ya magari haijavumbuliwa au kuendelezwa na wasio na elimu,
Simu wanazotumia kuwaonyesha nyinyi kua wana maisha mazuri,ni matokeo ya elimu.
Umuhimu wa elimu utaendelea kuwepo mpaka mwisho wa Dunia,
Hayo magari wanayoyanunua na hizo Nyumba wanazojenga,ni matokeo ya watu wenye elimu,nyumba haijengwi kienyeji wala tech ya magari haijavumbuliwa au kuendelezwa na wasio na elimu,
Simu wanazotumia kuwaonyesha nyinyi kua wana maisha mazuri,ni matokeo ya elimu.
Ila kweli... Mambumbu ndio wanamiliki mavitu mazuri siku hizi.Ila mkuu ndio watumie vilaza sasa😭😭
Thx Mkuu,We jamaa una uwezo mzuri na mkubwa sana kifikra. Sikufichi nakukubaligi sana! Na huwa nafuatilia sana michango yako humu. I bet haupo bongo, au kama upo una Exposure kubwa sana! Katika nyanja zote.
Mwenyezi mungu akubariki na akulinde.
😁😁 ila kwa tanzania tu lakini.Ila kweli... Mambumbu ndio wanamiliki mavitu mazuri siku hizi.
Mmoja mwenye mavyeti atakua hata vyeti hajui vipo wapi, yuko kibarazani, kwenye nyumba aliyojenga kwa jasho na mikopo, na gari ya IST iliyochoka ...wengine pesa walizopata nyingi bila idadi wanazozificha offshores watakua visiwa vya ibiza kwenye upepo na warembo huku wakiwa wamewekeza kwenye big generational businessesTukutane 2035 mkuu na hawa waliotajwa uwaangalie, then ulinganishe na aliyeenda shule kwa maana ya shule. Don't be myopic!
Kuna financial advisors wanaweza kukushauri, kuna online forums unaweza soma, kuna vitabu n.k vingi sana.Utajiri.