Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
- Thread starter
- #61
Hao wa kwenye 1245 nimesahau kuwaweka kwenye kundi la kwanza ambalo ni "wapiga dili", wao wana elimu sawa, ila utajir na pesa wameweza kuzipata kwa ku "manipulate mfumo"Nenda 1245, Nenda pale Tips mikocheni au ile coco.
Usipite meza za wavaa vipuri nenda zile VIP. Karibu na ngazi au Dj.
1245 ni yote.
Alafu ukiwa unatoka nje uangalie Gari zinazopaki. Haakikisha zile zinazokaa karibu na entrance. Urudi hapa useme, wasomi na machawa, mwijaku ana elimu, tumuweke kwa hao machawa. Hafui dafu kwa wale vijana wote wasomi. Na wote wanakula bata.
Refer FRANK YANG, BALATI, ISAAC, NSEKELA, AMOUR, STANLEY , Hawa utawakuta maeneo mengi ya starehe za 30ml a day mzee wangu.
Vijana wasome. Starehe zinatengenezwa na sisi wasomi. And wewe kama msomi, if you don't do bussiness to get rich , What's your purpose then?
Huwez kuniambia hao wanamaliza mil 30 per day ni mishahara yao na kiiunua mgongo au perdiems