Kati ya haya makundi mawili, ni nani anakula maisha ya kifahari na kitajiri?

Kwa idadi wasomi Wana maisha mazuri duniani kuliko wasio wasomi.
 
Chawa weny pesa ni wangapi ? Elimu ni bora na uwezo unajieleza hizo kelele wote pesa wanazolipwa ni kawaida , miaka kadhaa anaweza kuingia Rais mpya mambo yakabadilika .

Uchawa hauna ishu .
 
Mnajadili utoto!??
 
Kaka mkubwa hauoni kama hayo ni maneno ya kutufariji tu na hayana ukweli wowote?
Mkuu,
Hawa watu huwa miisho sio mizuri sana. Yaani angalia kina Musiba leo wako wapi, hao ndio type zao. Hawana mwisho mzuri as wanatumika kama toilet paper.
 
Mkuu,
Hawa watu huwa miisho sio mizuri sana. Yaani angalia kina Musiba leo wako wapi, hao ndio type zao. Hawana mwisho mzuri as wanatumika kama toilet paper.
Hawa nyumbu kina mwashambwa watakuelewa basi kaka mkubwa?
 
Diamond Platnumz na Labda Mwana Fa, nani anaishi vizuri🤔🤔

Mawe ni mawe tu mzee aidha uwe unaishi Canada au Congo kwenye vita kama una mawe una mawe tu.
 
Nenda 1245, Nenda pale Tips mikocheni au ile coco.
Usipite meza za wavaa vipuri nenda zile VIP. Karibu na ngazi au Dj.
1245 ni yote.

Alafu ukiwa unatoka nje uangalie Gari zinazopaki. Haakikisha zile zinazokaa karibu na entrance. Urudi hapa useme, wasomi na machawa, mwijaku ana elimu, tumuweke kwa hao machawa. Hafui dafu kwa wale vijana wote wasomi. Na wote wanakula bata.
Refer FRANK YANG, BALATI, ISAAC, NSEKELA, AMOUR, STANLEY , Hawa utawakuta maeneo mengi ya starehe za 30ml a day mzee wangu.
Vijana wasome. Starehe zinatengenezwa na sisi wasomi. And wewe kama msomi, if you don't do bussiness to get rich , What's your purpose then?
 
Ulaji was maisha ni mind set mkuu!

Kuna watu ni matajiri na wanaspend sana but in deep hearte they feel emptness!na Wala hata hawa enjoy life lenyewe!

Utajiri ni siri na Siri hizo zinawatesa sana kuliko wanavyo enjoy!!

Mind set mkuu acha kuona watu wakicheka na kutabasam wakiwa location mkuu,kwenye kicheko kingi Kuna maumivu pia take that!
 
Kuna watu wanataka kuhalalisha mambo Fulani wakizani ni mtindo mzuri kwenye nchi yetu,, tuombe tu watu wanaoishi kiujanja ujanja waendelee kuwa hao wachache lakini ikitokea kundi kubwa likaishi maisha ya ujanja ujanja sijui hii nchi itaishia wapi
 
Diamond Platnumz na Labda Mwana Fa, nani anaishi vizuri[emoji848][emoji848]

Mawe ni mawe tu mzee aidha uwe unaishi Canada au Congo kwenye vita kama una mawe una mawe tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…