Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Leverage

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2021
Posts
2,125
Reaction score
3,150
Kati ya hawa washua sita nani ana maslahi mazuri kuliko wengine kwenye mshahara, posho, overtime na mazingira bora ya kazi.
1. BOT
Bank of Tanzania.

2. TPDC
Tanzania Petroleum Development Corporation.

3. TCRA
Tanzania Communication Regulatory Authority.

4. TPA
Tanzania Port Authority.

5. TRA
Tanzania Revenue Authority.

6. TANAPA
Tanzania National Park

Kama unajua tushirikishe kama hujui basi soma comment za wengine. Uzi huu utasaidia vijana walioko masomoni.
 
Kwenye maslahi mazuri ni hapo unapojipatia riziki yako muda huu. Huko kote ulikotaja asilimia kubwa ya hizo nafasi(hasa za vitengo vyenye maslahi ni za Kamtele au Mtoto-wa.

Hizo za kawaida kwenye hizo idara hazina cha maana. But TCRA wana scale nzuri sana ya mishahara. Mlinzi tuu anamwacha graduate wa kada kama elimu au kilimo
 
Kwenye maslahi mazuri ni hapo unapojipatia riziki yako muda huu. Huko kote ulikotaja asilimia kubwa ya hizo nafasi(hasa za vitengo vyenye maslahi ni za Kamtele au Mtoto-wa. Hizo za kawaida kwenye hizo idara hazina cha maana. But TCRA wana scale nzuri sana ya mishahara. Mlinzi tuu anamwacha graduate wa kada kama elimu au kilimo
Ahsante sana, tatizo mishahara ya TGS iko wazi ila kuhusu hii miamba inayojipangia imekuwa siri hasa
 
Back
Top Bottom