Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kati ya hii miamba sita (6) nani ana maslahi mazuri kuliko wengine?

Kodi za wafanyabiashara ndizo zinazoendesha nchi, hizo ndizo zinalipa wengine wote ambapo nao wanakatwa kodi kutoka kodi wanazolipwa nazo. Hivyo miamba duniani kote ni wafanyabiashara kwa sababu wao ndio wanafanya uchumi wa nchi yoyote uende mbele au urudi nyuma.
Akili zako matope kweli..kwahiyo unadhani hao wafanyakazi hawakatwi kodi?..huu ujinga utawatoka lini?

#MaendeleoHayanaChama
 
Kuna Mzee yupo TRA, enzi za kikwete,

Alinunua nyumba Mwanza pale, kwa shilingi milion 600.


Alafu akaibomoa yote. Akajenga alokua anataka.

Kumbe mwamba alikua shida yake ni kiwanja
Kuna zile ajira 400 za TRA interview ilifanyika DUCE, kuna jamaa yangu alipata ila anasema salary walianza na laki 9.6
Hata 1mill haikufika sijui alikuwa ananidanganya yule jamaa?
 
Back
Top Bottom